πππNikiongea technically kiuchambuzi bila upendeleo wa upande wowote yanga anashinda kibahati bahati
Hahahahaha ,dahKesho ni fainali baina ya Yanga vs Azam, mchezo utakuwa mgumu lakini mwepesi sana kwa Azam, kinachonipa matumaini ni kuwa wachezaji watano wa Yanga wanaowategemea yaani Aucho, Aziz Ki, Max Nzengeli, Pacome na Mudathiri au Duke ni wachezaji wa kawaida sana mbele ya viungo wa Azam, lakini kubwa zaidi nalojivunia mimi ni kuwa kesho ndumba pale uwanjani zimegota.
Kesho saa 10 Simba watacheza na Coastal kutafuta mshindi wa tatu, sasa watakuwa wameshauharibu uwanja na hivyo Utopolo hawatakuwa tena na maajabu na uwanja huo.Kazi itakuwa ngumu sana kesho kwao.
Mtake msitake uwanja kesho uko free, mipango yetu ile haipo tena kesho, na endapo basi Yanga ataifunga Azam ndani ya dakika 90 kesho kwa Mkapa ntaamini na sitokuwa na sababu tena ya kubishana na watu kuhusu uwezo wao, nitakuwa mstari wa mbele kupinga maneno yote kuwa Yanga haina uwezo.Azam hii inafungwaje na timu inayotegemea Aucho, Max, Pacome na Aziz Ki tu.
Narudia kama Yanga itaifunga Azam ndani ya dakika 90 nitakuwa mtu wa kwanza kutoka unyamani kusema kuwa Yanga wako vizuri yanayosemwa juu yao ni uongo, uongo, uongo.
Mnawafunga simba kimipango halafu mnasema timu mnayo, ujinga kabisa
Hahahahaha mkiacha wachezaji pia mna waropokajiNadhani umeamini!
Watani Wana team wakati sisi bado tuna wachezaji tu
Natamani nikutukane maana dube alikua na haja gan ya kumpa max pasi kama nyuma yake hapakua na beki aliyekua anamkabsa ,Yanga haiko vizuri ila wanabebwa na waamuzi ile mechi ya juzi Simba sc ingeshinda..kwasababu lile goli lao ni la offside tu...Simba wamenyiwa penati ys wazi yanga akapewa goli la Offside.View attachment 3066357
Madrid haijawahi kuwaga mbovu.Barcelona kwenye ubora wake ilikuwa inafungwa na Madrid mbovu
Hodiii mwedugari? Mbona mnyamala? Mfirwaa?Kesho ni fainali baina ya Yanga vs Azam, mchezo utakuwa mgumu lakini mwepesi sana kwa Azam, kinachonipa matumaini ni kuwa wachezaji watano wa Yanga wanaowategemea yaani Aucho, Aziz Ki, Max Nzengeli, Pacome na Mudathiri au Duke ni wachezaji wa kawaida sana mbele ya viungo wa Azam, lakini kubwa zaidi nalojivunia mimi ni kuwa kesho ndumba pale uwanjani zimegota.
Kesho saa 10 Simba watacheza na Coastal kutafuta mshindi wa tatu, sasa watakuwa wameshauharibu uwanja na hivyo Utopolo hawatakuwa tena na maajabu na uwanja huo.Kazi itakuwa ngumu sana kesho kwao.
Mtake msitake uwanja kesho uko free, mipango yetu ile haipo tena kesho, na endapo basi Yanga ataifunga Azam ndani ya dakika 90 kesho kwa Mkapa ntaamini na sitokuwa na sababu tena ya kubishana na watu kuhusu uwezo wao, nitakuwa mstari wa mbele kupinga maneno yote kuwa Yanga haina uwezo.Azam hii inafungwaje na timu inayotegemea Aucho, Max, Pacome na Aziz Ki tu.
Narudia kama Yanga itaifunga Azam ndani ya dakika 90 nitakuwa mtu wa kwanza kutoka unyamani kusema kuwa Yanga wako vizuri yanayosemwa juu yao ni uongo, uongo, uongo.
Mnawafunga simba kimipango halafu mnasema timu mnayo, ujinga kabisa
HakikaAden Rage alikuwa sahihi
kocha wake narusha taulo1979Magufuli hapo vipi maneno yako unayakubali au tuombe admin afute uziπ€£π€£
Ni shabiki wa Msimbazi unaejitambuwa! Hongera...Kesho ni fainali baina ya Yanga vs Azam, mchezo utakuwa mgumu lakini mwepesi sana kwa Azam, kinachonipa matumaini ni kuwa wachezaji watano wa Yanga wanaowategemea yaani Aucho, Aziz Ki, Max Nzengeli, Pacome na Mudathiri au Duke ni wachezaji wa kawaida sana mbele ya viungo wa Azam, lakini kubwa zaidi nalojivunia mimi ni kuwa kesho ndumba pale uwanjani zimegota.
Kesho saa 10 Simba watacheza na Coastal kutafuta mshindi wa tatu, sasa watakuwa wameshauharibu uwanja na hivyo Utopolo hawatakuwa tena na maajabu na uwanja huo.Kazi itakuwa ngumu sana kesho kwao.
Mtake msitake uwanja kesho uko free, mipango yetu ile haipo tena kesho, na endapo basi Yanga ataifunga Azam ndani ya dakika 90 kesho kwa Mkapa ntaamini na sitokuwa na sababu tena ya kubishana na watu kuhusu uwezo wao, nitakuwa mstari wa mbele kupinga maneno yote kuwa Yanga haina uwezo.Azam hii inafungwaje na timu inayotegemea Aucho, Max, Pacome na Aziz Ki tu.
Narudia kama Yanga itaifunga Azam ndani ya dakika 90 nitakuwa mtu wa kwanza kutoka unyamani kusema kuwa Yanga wako vizuri yanayosemwa juu yao ni uongo, uongo, uongo.
Mnawafunga simba kimipango halafu mnasema timu mnayo, ujinga kabisa
Amka ukajitawaze!Kesho ni fainali baina ya Yanga vs Azam, mchezo utakuwa mgumu lakini mwepesi sana kwa Azam, kinachonipa matumaini ni kuwa wachezaji watano wa Yanga wanaowategemea yaani Aucho, Aziz Ki, Max Nzengeli, Pacome na Mudathiri au Duke ni wachezaji wa kawaida sana mbele ya viungo wa Azam, lakini kubwa zaidi nalojivunia mimi ni kuwa kesho ndumba pale uwanjani zimegota.
Kesho saa 10 Simba watacheza na Coastal kutafuta mshindi wa tatu, sasa watakuwa wameshauharibu uwanja na hivyo Utopolo hawatakuwa tena na maajabu na uwanja huo.Kazi itakuwa ngumu sana kesho kwao.
Mtake msitake uwanja kesho uko free, mipango yetu ile haipo tena kesho, na endapo basi Yanga ataifunga Azam ndani ya dakika 90 kesho kwa Mkapa ntaamini na sitokuwa na sababu tena ya kubishana na watu kuhusu uwezo wao, nitakuwa mstari wa mbele kupinga maneno yote kuwa Yanga haina uwezo.Azam hii inafungwaje na timu inayotegemea Aucho, Max, Pacome na Aziz Ki tu.
Narudia kama Yanga itaifunga Azam ndani ya dakika 90 nitakuwa mtu wa kwanza kutoka unyamani kusema kuwa Yanga wako vizuri yanayosemwa juu yao ni uongo, uongo, uongo.
Mnawafunga simba kimipango halafu mnasema timu mnayo, ujinga kabisa
Ikawaje tena ndugu yangu Kolo FC. Nawe imekuwa kama hasibu feki OKW CPA uchwara SUNZU BOBAN.Kesho ni fainali baina ya Yanga vs Azam, mchezo utakuwa mgumu lakini mwepesi sana kwa Azam, kinachonipa matumaini ni kuwa wachezaji watano wa Yanga wanaowategemea yaani Aucho, Aziz Ki, Max Nzengeli, Pacome na Mudathiri au Duke ni wachezaji wa kawaida sana mbele ya viungo wa Azam, lakini kubwa zaidi nalojivunia mimi ni kuwa kesho ndumba pale uwanjani zimegota.
Kesho saa 10 Simba watacheza na Coastal kutafuta mshindi wa tatu, sasa watakuwa wameshauharibu uwanja na hivyo Utopolo hawatakuwa tena na maajabu na uwanja huo.Kazi itakuwa ngumu sana kesho kwao.
Mtake msitake uwanja kesho uko free, mipango yetu ile haipo tena kesho, na endapo basi Yanga ataifunga Azam ndani ya dakika 90 kesho kwa Mkapa ntaamini na sitokuwa na sababu tena ya kubishana na watu kuhusu uwezo wao, nitakuwa mstari wa mbele kupinga maneno yote kuwa Yanga haina uwezo.Azam hii inafungwaje na timu inayotegemea Aucho, Max, Pacome na Aziz Ki tu.
Narudia kama Yanga itaifunga Azam ndani ya dakika 90 nitakuwa mtu wa kwanza kutoka unyamani kusema kuwa Yanga wako vizuri yanayosemwa juu yao ni uongo, uongo, uongo.
Mnawafunga simba kimipango halafu mnasema timu mnayo, ujinga kabisa
Wewe mpuuzi, sasa umeamini?Kesho ni fainali baina ya Yanga vs Azam, mchezo utakuwa mgumu lakini mwepesi sana kwa Azam, kinachonipa matumaini ni kuwa wachezaji watano wa Yanga wanaowategemea yaani Aucho, Aziz Ki, Max Nzengeli, Pacome na Mudathiri au Duke ni wachezaji wa kawaida sana mbele ya viungo wa Azam, lakini kubwa zaidi nalojivunia mimi ni kuwa kesho ndumba pale uwanjani zimegota.