Endelea kufurahia goli la leo la Yanga

Endelea kufurahia goli la leo la Yanga

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Kama ulifurahia kukataliwa kwa goli la Mayele katika mechi ya mwisho ya NBC Premier League ya msimu wa 2021/22 (lililomkosesha tuzo ya ufugaji bora) na ukaja ukafurahia goli la Simba dhidi ya Tanzania Prisons msimu huu, endelea kufurahia matokeo ya mechi ya leo kati ya Yanga na Geita Gold!
 
Kama ùlifurahia kukataliwa kwa goli la Mayele ktk mechi ya mwisho ia NBC premier league ya msimu wa 2021/22 (lililomkosesha tuzo ya ufugaji bota) na ukaja ukafurahia goli la Simba dhidi ya Tanzania Prisons msimu huu.....Endelea kufurahia matokeo ya mechi ya leo kati ya Yanga na Geita gold
Wapumbavu wote,binafsi huwa naangalia Yanga na Simba mechi za kigeni hizo zingine za kipuuzi mnazobebwa sinaga mda.
 
Kweli utopolo wenye akili ni wawili ukitaka kujua hilo angalia mashabiki wa yanga hata kuandika shida ndo maana Morrison aliwaambia waende shule sasa ndo umeandika utumbo gani huu
 
Kweli utopolo wenye akili ni wawili ukitaka kujua hilo angalia mashabiki wa yanga hata kuandika shida ndo maana Morrison aliwaambia waende shule sasa ndo umeandika utumbo gani huu
Mbumbumbu
 
Kweli utopolo wenye akili ni wawili ukitaka kujua hilo angalia mashabiki wa yanga hata kuandika shida ndo maana Morrison aliwaambia waende shule sasa ndo umeandika utumbo gani huu
Hata wewe kuandika haujui toa hilo neno "ndo"
 
Utopolo unajizima data, mimi nakuwasha MMEBEBWA.
Bebwa nawe kama UNAUMIA la sivyo utakuwa na wivu wa kike [emoji28]

Afu timu gani haijawahi kubebwa duniani?

Mechi ya kwanza Makolokolo VS Agosto makolo mlibebwa kwa kuwanyima Agosto penati halali, pia goli lao la pili la kusawazisha mliwakatalia Kwa madai ya offside.

Poor, pua, pua Makolokolo/mbumbumbu/Malalamiko/Makelele FC [emoji38]
 
Kweli utopolo wenye akili ni wawili ukitaka kujua hilo angalia mashabiki wa yanga hata kuandika shida ndo maana Morrison aliwaambia waende shule sasa ndo umeandika utumbo gani huu
We mwenyewe huna akili, kwanini Me mwenzako awe msemaji wa mabingwa wako wa NBC PL 2022/22, FA League 202122 na Ngao ya hisani 2021/22 badala ya wewe kuwa msemaji wao?

Una mahaba naye mchukue akawe msemaji mkuu wa familia yako na ukoo wenu [emoji16]
 
We mwenyewe huna akili, kwanini Me mwenzako awe msemaji wa mabingwa wako wa NBC PL 2022/22, FA League 202122 na Ngao ya hisani 2021/22badala ya wewe kuwa msemaji wao?

Una mahaba naye mchukue akawe msemaji mkuu wa familia yako na ukoo wenu [emoji16]
Siku nyingine pitia ulichoandika kabla huja reply itakusaidia kuliko kwenda airport kupokea wanaume wenzako wakati hawakujui jifunze kuandika kwanza.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] byuti byuti watapoteana J5,watabondwa nje ndani, na kule hakna Nibebe,

Uwiiiiiiiih
 
Back
Top Bottom