Kama ulifurahia kukataliwa kwa goli la Mayele katika mechi ya mwisho ya NBC Premier League ya msimu wa 2021/22 (lililomkosesha tuzo ya ufugaji bora) na ukaja ukafurahia goli la Simba dhidi ya Tanzania Prisons msimu huu, endelea kufurahia matokeo ya mechi ya leo kati ya Yanga na Geita Gold!