Nimecheka sana,ya kwamba anajizima data[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utopolo unajizima data, mimi nakuwasha MMEBEBWA.
La Simba dhidi ya Prisons lina uhalali gani?Utopolo unajizima data, mimi nakuwasha MMEBEBWA.
Safi sanaNipo hapa naendelea kufurahia goli la Yanga leo tena burudani kabisa kusikia Morrison karudi nakufunga
Si ulifurahia matokeo ya huko nyuma? Leo vp sasaNimecheka sana,ya kwamba anajizima data[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wapumbavu wote,binafsi huwa naangalia Yanga na Simba mechi za kigeni hizo zingine za kipuuzi mnazobebwa sinaga mda.Kama ùlifurahia kukataliwa kwa goli la Mayele ktk mechi ya mwisho ia NBC premier league ya msimu wa 2021/22 (lililomkosesha tuzo ya ufugaji bota) na ukaja ukafurahia goli la Simba dhidi ya Tanzania Prisons msimu huu.....Endelea kufurahia matokeo ya mechi ya leo kati ya Yanga na Geita gold
AhaaaWapumbavu wote,binafsi huwa naangalia Yanga na Simba mechi za kigeni hizo zingine za kipuuzi mnazobebwa sinaga mda.
MbumbumbuKweli utopolo wenye akili ni wawili ukitaka kujua hilo angalia mashabiki wa yanga hata kuandika shida ndo maana Morrison aliwaambia waende shule sasa ndo umeandika utumbo gani huu
Hata wewe kuandika haujui toa hilo neno "ndo"Kweli utopolo wenye akili ni wawili ukitaka kujua hilo angalia mashabiki wa yanga hata kuandika shida ndo maana Morrison aliwaambia waende shule sasa ndo umeandika utumbo gani huu
Bebwa nawe kama UNAUMIA la sivyo utakuwa na wivu wa kike [emoji28]Utopolo unajizima data, mimi nakuwasha MMEBEBWA.
We mwenyewe huna akili, kwanini Me mwenzako awe msemaji wa mabingwa wako wa NBC PL 2022/22, FA League 202122 na Ngao ya hisani 2021/22 badala ya wewe kuwa msemaji wao?Kweli utopolo wenye akili ni wawili ukitaka kujua hilo angalia mashabiki wa yanga hata kuandika shida ndo maana Morrison aliwaambia waende shule sasa ndo umeandika utumbo gani huu
Siku nyingine pitia ulichoandika kabla huja reply itakusaidia kuliko kwenda airport kupokea wanaume wenzako wakati hawakujui jifunze kuandika kwanza.We mwenyewe huna akili, kwanini Me mwenzako awe msemaji wa mabingwa wako wa NBC PL 2022/22, FA League 202122 na Ngao ya hisani 2021/22badala ya wewe kuwa msemaji wao?
Una mahaba naye mchukue akawe msemaji mkuu wa familia yako na ukoo wenu [emoji16]
Siku nyingine pitia ulichoandika kabla huja post itakusaidia kwa msaada zaid muone rasi simba.Mbumbumbu
Sawa Mama [emoji3]Siku nyingine pitia ulichoandika kabla huja reply itakusaidia kuliko kwenda airport kupokea wanaume wenzako wakati hawakujui jifunze kuandika kwanza.