Endelea kufurahia goli la leo la Yanga

Endelea kufurahia goli la leo la Yanga

Goli la Mkude dhidi ya Prison ni Mbeleko isiyo na Mashiko.
 
Hii wiki ni wiki ya maumivu kwa mashabiki wa Simba..
1-wamepigwa na azam
2-kafungwa geita wanaumia Simba
3-wana gap la 6 points
4-goli la Aziz ki dhidi ya manula
5-kesho wana kibarua kizito na mtibwa
.kila wakilala wanaweweseka
 
Kweli utopolo wenye akili ni wawili ukitaka kujua hilo angalia mashabiki wa yanga hata kuandika shida ndo maana Morrison aliwaambia waende shule sasa ndo umeandika utumbo gani huu
[emoji23][emoji23][emoji23] naona una pambana kupita kwa wanaume
tapatalk_1574275824311.gif
 
Kama ùlifurahia kukataliwa kwa goli la Mayele ktk mechi ya mwisho ia NBC premier league ya msimu wa 2021/22 (lililomkosesha tuzo ya ufugaji bota) na ukaja ukafurahia goli la Simba dhidi ya Tanzania Prisons msimu huu.....Endelea kufurahia matokeo ya mechi ya leo kati ya Yanga na Geita gold
Simba walinyimwa penati ya wazi kabisa walipocheza na Prison ( uwe unatoa ufafanuzi huu). Hivyo, prison alipendelewa pia, na Yanga hajanyimwa chochote kama kifuta jasho kwa Geita.
Aragija aliwapa Yanga penati ya bure dhidi ya Azam na aliwanyima Azam penati ya wazi kabisa. Hesabu ya haraka Inaonesha kuwa Yanga angefungwa na Azam kama Haki ingetumika.
Timu ya aina hii haiwezi kufanya vizuri kimataifa ( Kwasababu, inabweteka na ushindi wa kupendelewa).
 
Wanaume wote wapo Caf champions league ulimsajili aziz aje kucheza na geita na yule jamaa wa Newcastle aje kucheza na ihefu tunarudi pale pale wenye akili bado ni wawili.
Sawa kesho mnacheza champions League na Mtibwa
 
Wanaume wote wapo Caf champions league ulimsajili aziz aje kucheza na geita na yule jamaa wa Newcastle aje kucheza na ihefu tunarudi pale pale wenye akili bado ni wawili.
Caf ya matak_o yako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] byuti byuti watapoteana J5,watabondwa nje ndani, na kule hakna Nibebe,

Uwiiiiiiiih
Tumekuskia
 
Hii wiki ni wiki ya maumivu kwa mashabiki wa Simba..
1-wamepigwa na azam
2-kafungwa geita wanaumia Simba
3-wana gap la 6 points
4-goli la Aziz ki dhidi ya manula
5-kesho wana kibarua kizito na mtibwa
.kila wakilala wanaweweseka
Hakika
 
Go and wash your clitoris my queen and enjoy with your husband the whole night don't forget to wear condom alamsik.
Ungeandika kiswahili kuliko kujianika
 
Simba walinyimwa penati ya wazi kabisa walipocheza na Prison ( uwe unatoa ufafanuzi huu). Hivyo, prison alipendelewa pia, na Yanga hajanyimwa chochote kama kifuta jasho kwa Geita.
Aragija aliwapa Yanga penati ya bure dhidi ya Azam na aliwanyima Azam penati ya wazi kabisa. Hesabu ya haraka Inaonesha kuwa Yanga angefungwa na Azam kama Haki ingetumika.
Timu ya aina hii haiwezi kufanya vizuri kimataifa ( Kwasababu, inabweteka na ushindi wa kupendelewa).
Mabingwa wa fitina na michongo wanafahamika
 
Wanaume wote wapo Caf champions league ulimsajili aziz aje kucheza na geita na yule jamaa wa Newcastle aje kucheza na ihefu tunarudi pale pale wenye akili bado ni wawili.
Wazazi wanastahili pole na pongezi
 
Ungeandika kiswahili kuliko kujianika
Mi si najua mashabiki wa yanga ni weupe mwambie ajibu nimuonyeshe kwamba sijakula ada buree mnaenda lini airport kuwapokea warabu maana ndo kazi mnayoiweza akili mtazitolea wapi
 
Kweli elimu ya sekondari ni muhimu
Ni muhimu sana itawasaidia mashabiki wa yanga wajao wasiende tena airport kupokea team zetu zinapo wakilisha taifa ila mpaka hichi kizazi cha mazezeta kipotee kwanza.
 
Back
Top Bottom