Endeleeni kukariri kama mlivyofanya jana kwa Senegal, ila hata kwa Usiku huu Gwiji la Morocco nalo linaenda Kung'oka AFCON

Endeleeni kukariri kama mlivyofanya jana kwa Senegal, ila hata kwa Usiku huu Gwiji la Morocco nalo linaenda Kung'oka AFCON

Kwa mtu anayefuatilia mpira kwa kina kama wewe mtaalam GENTAMYCINE upo sahihi. Kile kikosi kimejaaa wachezaji wa mamelodi ambao kila siku wanawapiga waarabu nje ndani. Vile vijamaa ni vifupi, ila vinacheza pasi fupi fupi za haraka mno , na counter attack ndefu za haraka mno. Ila vile vijamaa vinakimbia sio poa dakika zote 90. Halafu vinajua kushikilia bomba.

Swali kwako mtaalam, huwa najiulizaga hao wachezaji wa mamelodi wanatoa wapi stamina ya kukimbia kama mshale mwanzo mpaka mwisho wa mechi?
Wale mamelodi wanajituma sana mkuu,wale jamaa wanapenda kazi yao tofuati kabisa na wachezaji wetu huku
 
Super cup? Watu mnaropokwa tu, mamelod ni lini kachukua super cup? Au unamaanisha super league?
Super league?watu mnaropokwa tu au unamaanisha african football league?
 
Kwa mtu anayefuatilia mpira kwa kina kama wewe mtaalam GENTAMYCINE upo sahihi. Kile kikosi kimejaaa wachezaji wa mamelodi ambao kila siku wanawapiga waarabu nje ndani. Vile vijamaa ni vifupi, ila vinacheza pasi fupi fupi za haraka mno , na counter attack ndefu za haraka mno. Ila vile vijamaa vinakimbia sio poa dakika zote 90. Halafu vinajua kushikilia bomba.

Swali kwako mtaalam, huwa najiulizaga hao wachezaji wa mamelodi wanatoa wapi stamina ya kukimbia kama mshale mwanzo mpaka mwisho wa mechi?
Mkuu wachezaji wa Mamelodi sio wafupi Kekana,Mokoena,Shalulile,Mudau na Mvala wana ufupi gani hapo nimetaja wachache tuu..
 
For those FOOLISH HATERS of mine led by you, please make sure that you read Jeremiah 1:19 to know how the Almighty Lord God of Heaven guide and bless GENTAMYCINE everywhere and daily.
Acha utapeli foolish kid. Wewe na biblia wap na wapi.
Wewe nenda koko beach kule kawaingilie wale watoto.
 
Mnaobeti chukueni hii Morocco anatoka leo kwa kufungwa na South Africa Goli 1 sasa au Goli 1 katika dakika 30 za baadae kama wasipofungana au katika Penati ambako South Africa watafunga ila kwa Morocco watakosa nyingi na Safari yao kwa AFCON itaishia rasmi Usiku huu huu.
Nikuite akili kubwa. Umeshinda.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Una ushahidi? Au ndio yalee ya kusikia mitandaoni nawe ukafuata mkumbo!

Halafu watajiitaje wao waafrika haliyakua ni waarabu!

Tuache ubaguzi bwana
Sasa kama ni waarabu, kwani hili kombe la waarabu. This is for Africa and for Africans.

Nguruwe wale wamekiona cha moto.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom