Wale mamelodi wanajituma sana mkuu,wale jamaa wanapenda kazi yao tofuati kabisa na wachezaji wetu hukuKwa mtu anayefuatilia mpira kwa kina kama wewe mtaalam GENTAMYCINE upo sahihi. Kile kikosi kimejaaa wachezaji wa mamelodi ambao kila siku wanawapiga waarabu nje ndani. Vile vijamaa ni vifupi, ila vinacheza pasi fupi fupi za haraka mno , na counter attack ndefu za haraka mno. Ila vile vijamaa vinakimbia sio poa dakika zote 90. Halafu vinajua kushikilia bomba.
Swali kwako mtaalam, huwa najiulizaga hao wachezaji wa mamelodi wanatoa wapi stamina ya kukimbia kama mshale mwanzo mpaka mwisho wa mechi?
Super league?watu mnaropokwa tu au unamaanisha african football league?Super cup? Watu mnaropokwa tu, mamelod ni lini kachukua super cup? Au unamaanisha super league?
Njoo bandarini nikupe kazi uwe kuli mwandamizi.Mpaka unaona nina Followers 177 hapa JamiiForums jua GENTAMYCINE ni Habari nyingine Mkuu sawa?
Nabii Joshua wa JFMkuu GENTAMYCINE wewe ni mmoja wa Manabii ndani ya JamiiForums.....
Kujibiwa vibaya ndiyo Kiswahili gani?UKijibiwa vibaya unaanza kulia lia mods
Mkuu wachezaji wa Mamelodi sio wafupi Kekana,Mokoena,Shalulile,Mudau na Mvala wana ufupi gani hapo nimetaja wachache tuu..Kwa mtu anayefuatilia mpira kwa kina kama wewe mtaalam GENTAMYCINE upo sahihi. Kile kikosi kimejaaa wachezaji wa mamelodi ambao kila siku wanawapiga waarabu nje ndani. Vile vijamaa ni vifupi, ila vinacheza pasi fupi fupi za haraka mno , na counter attack ndefu za haraka mno. Ila vile vijamaa vinakimbia sio poa dakika zote 90. Halafu vinajua kushikilia bomba.
Swali kwako mtaalam, huwa najiulizaga hao wachezaji wa mamelodi wanatoa wapi stamina ya kukimbia kama mshale mwanzo mpaka mwisho wa mechi?
Acha utapeli foolish kid. Wewe na biblia wap na wapi.For those FOOLISH HATERS of mine led by you, please make sure that you read Jeremiah 1:19 to know how the Almighty Lord God of Heaven guide and bless GENTAMYCINE everywhere and daily.
Mfano ukilinganisha na wachezaji wa Morocco nilikuwa nawaona wote ni wafupi kwao.Mkuu wachezaji wa Mamelodi sio wafupi Kekana,Mokoena,Shalulile,Mudau na Mvala wana ufupi gani hapo nimetaja wachache tuu..
Mkuu Genta nimekubali.GENTAMYCINE niliposema mapema hapa kuwa Gwiji lingine la Afrika Morocco leo linang'oka si mlikuwa hamniamini?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King Ok?
Even me. Walijitoa ufahamu kuwa wao sio waafrika. Nyang'au kabisa waleJana nilipata furaha sana ile mibaguzi kupigwa mbili kavu na iende ikafie mbali.
Mungu ibariki southafrica
Nikuite akili kubwa. Umeshinda.Mnaobeti chukueni hii Morocco anatoka leo kwa kufungwa na South Africa Goli 1 sasa au Goli 1 katika dakika 30 za baadae kama wasipofungana au katika Penati ambako South Africa watafunga ila kwa Morocco watakosa nyingi na Safari yao kwa AFCON itaishia rasmi Usiku huu huu.
Even me. Walijitoa ufahamu kuwa wao sio waafrika. Nyang'au kabisa wale
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Sasa kama ni waarabu, kwani hili kombe la waarabu. This is for Africa and for Africans.Una ushahidi? Au ndio yalee ya kusikia mitandaoni nawe ukafuata mkumbo!
Halafu watajiitaje wao waafrika haliyakua ni waarabu!
Tuache ubaguzi bwana
Hao nguruwe ndio wamemsaidia tz kufika ivory coast mwaka huuSasa kama ni waarabu, kwani hili kombe la waarabu. This is for Africa and for Africans.
Nguruwe wale wamekiona cha moto.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app