Endeleeni Kupuyanga mkidhani Umri unawangoja

Endeleeni Kupuyanga mkidhani Umri unawangoja

Aisee, kweli miaka inaenda sana. Sasa uzee haupungiki japo binafsi siupendi. Yaani ingekuwa ruhusa yangu 45yrs nitulie hapo, manake zaidi ya hapo utake usitake unaanza kuwa mzee..maniner..

Eti katoto ka 2000 kana 23yrs, kwamba kanaliwa bila chumvi saivi, noma sana.
 
Sihitaji salamu yako,salamu yako peleka kwenu huko!.

Kwa Taarifa yako

1990 - Umri Miaka 35
1991 - Umri Miaka 34
1992 - Umri Miaka 33
1993 - Umri Miaka 32
1994 - Umri Miaka 31
1995 - Umri miaka 30
1996 - Umri Miaka 29
1997 - Umri Miaka 28
1998 - Umri Miaka 27
1999 - Umri Miaka 26
2000 - Umri miaka 25

Any way, Juzi nilienda kuwaambia chuo wanirudishie Ada yangu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah
 
Aisee, kweli miaka inaenda sana. Sasa uzee haupungiki japo binafsi siupendi. Yaani ingekuwa ruhusa yangu 45yrs nitulie hapo, manake zaidi ya hapo utake usitake unaanza kuwa mzee..maniner..

Eti katoto ka 2000 kana 23yrs, kwamba kanaliwa bila chumvi saivi, noma sana.
Hahahha😂😂😂😂
 
Sihitaji salamu yako,salamu yako peleka kwenu huko!.

Kwa Taarifa yako

1990 - Umri Miaka 35
1991 - Umri Miaka 34
1992 - Umri Miaka 33
1993 - Umri Miaka 32
1994 - Umri Miaka 31
1995 - Umri miaka 30
1996 - Umri Miaka 29
1997 - Umri Miaka 28
1998 - Umri Miaka 27
1999 - Umri Miaka 26
2000 - Umri miaka 25

Any way, Juzi nilienda kuwaambia chuo wanirudishie Ada yangu.
Oyaaa Hom boy
No hurry in Africa [emoji2][emoji2]
 
Hesabu ni janga la taifa,
Kuna Uzi mtu alileta kuhusu watanzania kulipwa!
Mwingine alizungumzia kuhusu kuweka Hela mpaka mwaka uishe
YAANI WOTE WALIPUYANGA VIBAYA MNOO
 
Back
Top Bottom