Endeleeni Kupuyanga mkidhani Umri unawangoja

Aisee, kweli miaka inaenda sana. Sasa uzee haupungiki japo binafsi siupendi. Yaani ingekuwa ruhusa yangu 45yrs nitulie hapo, manake zaidi ya hapo utake usitake unaanza kuwa mzee..maniner..

Eti katoto ka 2000 kana 23yrs, kwamba kanaliwa bila chumvi saivi, noma sana.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah
 
Hahahha😂😂😂😂
 
Oyaaa Hom boy
No hurry in Africa [emoji2][emoji2]
 
Hesabu ni janga la taifa,
Kuna Uzi mtu alileta kuhusu watanzania kulipwa!
Mwingine alizungumzia kuhusu kuweka Hela mpaka mwaka uishe
YAANI WOTE WALIPUYANGA VIBAYA MNOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…