Endeleeni Kupuyanga mkidhani Umri unawangoja

Mkuu una ugpmvi?
 
Ukweli mchungu huu πŸ™‚πŸ€£πŸ€£
 
Umri ni ma- number tu hayo kaka, wacha watu wale maisha wakiwa bado vijana. Masuala ya kujenga, kuwekeza hayo when your abave 50 na hata hivyo kama una cha kuwekeza kama huna haina haja kupata ugonjwa wa moyo, malizia maisha uondoke zako hapa duniani.

kuondoka ni kuondoka tu uwe maskini ama tajiri utamu & uchungu wa kifo ni ule ule. Ponda maisha !! no one will ask you why you died poor
 


Wanaweza kukubeza au kusema umeandika vibaya, ila uliloandika ni jambo kubwa sana, nalifanyia kazi.

Zaburi 90:12 NEN

"Tufundishe kuzihesabu siku zetu vizuri, ili tujipatie moyo wa hekima"
 
Naona Vijana mliozaliwa miaka ya 1990 hadi 2000 mmekumbushwa kuhusu umri wetu wa miaka 33 hadi 23 mliyonayo mmeanza kumlaumu mtoa mada.

Mbona sisi Wazee tuliozaliwa miaka ya 1960 hatulalamiki kuwa sasa tumetimiza miaka 63 πŸ€ͺπŸ˜…πŸ˜…

Anyway, Huku Afrika tuna msemo wetu kuwa maisha huanza ukiwa na miaka 40

Kwahiyo hakuna haja ya kujilaumu kuwa umechelewa kupata ajira ama mafanikio.

Muda wako wa kufanikiwa utakuwa haujafika.

Binafsi kwa kutambua changamoto hiyo, nimeanza ujenzi wa nyumba kubwa itakayoweza kubeba Familia hata ya watu 27 kwa pamoja.

Kwahiyo hata ikitokea Vijana wangu wameoa ila mambo yao hayajakaa vyema wanaweza kurudi nyumbani kwa Baba yao na kuishi hadi pale watakapoona imetosha.

Mkiyaendea kasi maisha mnaweza jikuta mmetumbukia kwenye mambo yasiyofaa.

Mungu awape Uvumilivu Vijana wetuπŸ™

Pia hongera mtoa mada kuweza kuwakumbusha Vijana wenzako
 
Nimeshangaa 2Γ— nimefika mda gan, kumbe hesabu haziko sahihi.

Usituzeeshe tafadhariii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Taifa linapitia kipindi kigumu
 
Waseme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…