October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Mwateka watu kama digidigi. Mwatesa na kuua watu. Mmejipa umungu sio. Heheee! Siye tutawaabudu mchekelee heheee. Mayii!
Wachoma pasi watu, wabaka watu, mwaua watu. Nye ni watabe Nye.
Mabingwa hao. Wababe nye. Wazee wa kazi sio. Hehee! Na bado
Wachoma pasi watu, wabaka watu, mwaua watu. Nye ni watabe Nye.
Mabingwa hao. Wababe nye. Wazee wa kazi sio. Hehee! Na bado