mim nina mke wangu anasumbuliwa na PCOS ameshatumia dawa sana nin suluhisho la hili tatizo wadau.
Inategeme unaweza ukapata mtoto au usipate almost nusu ya watu ambao wana Endometriosis huwa hawawezi kupata mtoto but keep on using pills ulizopewa
Bado nahitaji mawazo zaidi wakuu maana nilipoambiwa nina endometritis nilishituka na nikawaza kutokupata mtoto kabisa bt docta akanicomfort ss had sasa nina mawazo sana wapendwa,
Bado nafanyia utafiti dawa zangu ambazo ni za asili ,mpaka sasa watu watatu kati ya sita niliowapa dawa walishaona matokeo.
Natumaini kufanikiwa na kuwakomboa wanawake wengi wenye matatizo mbalimbali yanayoelekea kwenye ugumba.
Woga ni kitu kibaya sana,
Endometriotitis ni inflammation ya Endometrium na wala haina mahusiana na masuala ya uzazi labda usipotibiwa vyema maana PID hupelekea infertility wakati mwingine.
Kikubwa hakikisha unapatiwa matibabu na kupona, hamna zaidi ya hapo mkuu!
every Dx. of PID carry 25% of infertility.
kwa hiyo hiyo endometritis ina maana tyr PID ushaanza kuwa rafiki nayo na huo ugonjwa hauna masiala katika kuharibu upper female genital tract ikiwa ni pamoja na fallopian tubes(salpingitis),ovaries(oophritis),na hiyo endometrium.
kwa hiyo kuwa makini na tiba pia zuia michepuko ili tatizo lisijirudie % za ugumba zikaongezeka.!!!!
cc.dr.Theobard Mathias Rwiza
Juzi nilikua nasumbuliwa na tumbo ambapo lilikua lina uma upande wa kushoto na kulia hivyo daktari akaagiza nipigwe utra-sound ambapo utra-sound hiyo ilionesha kuwa nina ENDOMESTRITIS ambapo nilipatiwa antibiotics kadha.
Sasa je kwa ugonjwa huo nitaweza kupata mtoto?
Maana nipo kwenye ndoa kwa mwaka mmoja sasa.
Naomba msaada jamani kejeli sitaki wapendwa.
Woga ni kitu kibaya sana,
Endometriotitis ni inflammation ya Endometrium na wala haina mahusiana na masuala ya uzazi labda usipotibiwa vyema maana PID hupelekea infertility wakati mwingine.
Kikubwa hakikisha unapatiwa matibabu na kupona, hamna zaidi ya hapo mkuu!