IYOMBO
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 381
- 218
Juzi nilikua nasumbuliwa na tumbo ambapo lilikua lina uma upande wa kushoto na kulia hivyo daktari akaagiza nipigwe utra-sound ambapo utra-sound hiyo ilionesha kuwa nina ENDOMESTRITIS ambapo nilipatiwa antibiotics kadha.
Sasa je kwa ugonjwa huo nitaweza kupata mtoto?
Maana nipo kwenye ndoa kwa mwaka mmoja sasa.
Naomba msaada jamani kejeli sitaki wapendwa.
Sasa je kwa ugonjwa huo nitaweza kupata mtoto?
Maana nipo kwenye ndoa kwa mwaka mmoja sasa.
Naomba msaada jamani kejeli sitaki wapendwa.