Endomestritis: Naombeni msaada Madaktari

IYOMBO

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2015
Posts
381
Reaction score
218
Juzi nilikua nasumbuliwa na tumbo ambapo lilikua lina uma upande wa kushoto na kulia hivyo daktari akaagiza nipigwe utra-sound ambapo utra-sound hiyo ilionesha kuwa nina ENDOMESTRITIS ambapo nilipatiwa antibiotics kadha.

Sasa je kwa ugonjwa huo nitaweza kupata mtoto?

Maana nipo kwenye ndoa kwa mwaka mmoja sasa.

Naomba msaada jamani kejeli sitaki wapendwa.
 
Msaada madaktari,mbona kimya?
 
Endometriotitis haiwezi kusababisa direct infertility, labda kama una tatizo lingine ambalo hujatueleza...
 
Aksante kwa ushauri,sina tatizo zaid ya hilo.
 
mim nina mke wangu anasumbuliwa na PCOS ameshatumia dawa sana nin suluhisho la hili tatizo wadau.
 
Inategeme unaweza ukapata mtoto au usipate almost nusu ya watu ambao wana Endometriosis huwa hawawezi kupata mtoto but keep on using pills ulizopewa
 
mim nina mke wangu anasumbuliwa na PCOS ameshatumia dawa sana nin suluhisho la hili tatizo wadau.

suluhisho ni kuendelea kutumia tu hizo dawa ili abalance hormones ila anatakiwa pia ale a balanced diet,afanye mazoezi mara kwa mara na kama ni over weight ajaribu kupunguza uzito
 
Bado nafanyia utafiti dawa zangu ambazo ni za asili ,mpaka sasa watu watatu kati ya sita niliowapa dawa walishaona matokeo.
Natumaini kufanikiwa na kuwakomboa wanawake wengi wenye matatizo mbalimbali yanayoelekea kwenye ugumba.
 
Bado nahitaji mawazo zaidi wakuu maana nilipoambiwa nina endometritis nilishituka na nikawaza kutokupata mtoto kabisa bt docta akanicomfort ss had sasa nina mawazo sana wapendwa,
 
Woga ni kitu kibaya sana,

Endometriotitis ni inflammation ya Endometrium na wala haina mahusiana na masuala ya uzazi labda usipotibiwa vyema maana PID hupelekea infertility wakati mwingine.

Kikubwa hakikisha unapatiwa matibabu na kupona, hamna zaidi ya hapo mkuu!
 
Bado nafanyia utafiti dawa zangu ambazo ni za asili ,mpaka sasa watu watatu kati ya sita niliowapa dawa walishaona matokeo.
Natumaini kufanikiwa na kuwakomboa wanawake wengi wenye matatizo mbalimbali yanayoelekea kwenye ugumba.

Mungu akusaidie ufanikishe dear
 
Woga ni kitu kibaya sana,

Endometriotitis ni inflammation ya Endometrium na wala haina mahusiana na masuala ya uzazi labda usipotibiwa vyema maana PID hupelekea infertility wakati mwingine.

Kikubwa hakikisha unapatiwa matibabu na kupona, hamna zaidi ya hapo mkuu!

Aksante mkuu.
 
every Dx. of PID carry 25% of infertility.

kwa hiyo hiyo endometritis ina maana tyr PID ushaanza kuwa rafiki nayo na huo ugonjwa hauna masiala katika kuharibu upper female genital tract ikiwa ni pamoja na fallopian tubes(salpingitis),ovaries(oophritis),na hiyo endometrium.

kwa hiyo kuwa makini na tiba pia zuia michepuko ili tatizo lisijirudie % za ugumba zikaongezeka.!!!!
 
cc.dr.Theobard Mathias Rwiza

Aksante ndugu,bt kwani michepuko kwan ndio inasababisha hali hyo?
 
Mwenye tatizo la pcos ni kwamba tatizo linatibika kabisa ila inahitaji uvumilivu na ushirikiano wa kutosha na mkeo. Pili - dont go for cheap treatment or cheap hospitals. 3. Umri wa mkeo vipi?
 
Juzi nilikua nasumbuliwa na tumbo ambapo lilikua lina uma upande wa kushoto na kulia hivyo daktari akaagiza nipigwe utra-sound ambapo utra-sound hiyo ilionesha kuwa nina ENDOMESTRITIS ambapo nilipatiwa antibiotics kadha.

Sasa je kwa ugonjwa huo nitaweza kupata mtoto?

Maana nipo kwenye ndoa kwa mwaka mmoja sasa.

Naomba msaada jamani kejeli sitaki wapendwa.

Mama mimi sio daktari wa binaadam lakini niliingia mtandaoni na nikapata maelezo mazuri sana kuliko utakayoyapata kwa sisi wapita njia. Hebu nenda hapa chini kwenye link niliyoiweka na utajisomea mwenyewe mengi sana. Kila la kheri na Mungu akuafu.

www.healthline.com/health/endometritis
 
Woga ni kitu kibaya sana,

Endometriotitis ni inflammation ya Endometrium na wala haina mahusiana na masuala ya uzazi labda usipotibiwa vyema maana PID hupelekea infertility wakati mwingine.

Kikubwa hakikisha unapatiwa matibabu na kupona, hamna zaidi ya hapo mkuu!

Ushauri ni huu mtoa mada..
 
Jamani Dr
Nini dawa ya cyst hzo kwenye ovary?
Unaweza kushika mimba nikiwa na cyst kwnye ovary moja?
 
Back
Top Bottom