Endorsement kutoka Wana CCM wakongwe muhimu kwa Rais Samia

Endorsement kutoka Wana CCM wakongwe muhimu kwa Rais Samia

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Hadi sasa nimewaona wakongwe muhimu ndani ya chama wakimuunga mkono Rais Samia na Dr Nchimbi.
-Philip Mangula
-Adam Kimbisa
-Bashiru Ally
-Joseph Butiku
 
Hadi sasa nimewaona wakongwe muhimu ndani ya chama wakimuunga mkono Rais Samia na Dr Nchimbi.
-Philip Mangula
-Adam Kimbisa
-Bashiru Ally
-Joseph Butiku
Kwa mujibu wa Balozi polepole hapo juzi. Kundi la wanamtandao wa ccm likiongozwa na ndugu JAKAYA MRISHO KIKWETE ndiyo waliomuua ndugu JOHN POMBE Joseph Magufuli.
Stori hii ameithibitisha.
Pia ni kundi hilo ndilo lilimuwekea sumu ndugu MANGULA
Polepole anathibitisha
 
Umeingia JF lini?
 
Chukua muda kuperruz ujifunze na usikurupuke.
Nimekurupuka kwenye lipi? Kuna taarifa yyte ya uongo nimetoa au nimetumia polepole kama authority!
Wewe unapoandika kuishinikiza MAHAKAMA huwa unaperuzi wapi?
 
Back
Top Bottom