Eneo alilopigwa kocha wa Gabarone mashabiki au viongozi hawarusiwi kuwepo

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Nimeona watu wanasema Yanga ifungiwe kwa sababu mtu aliyempiga kocha wa gaborone ni mshabiki wa Yanga

Lakini lile eneo alilopigwa kocha wa gaborone sidhani kama mshabiki anarusiwa kuwepo, na hata viongozi hawarusiwi kuwepo

Na pia kocha wa gaborone hajapigwa ndani ya uwanja wakati mechi inaendela, AMEPIGWA WAKATI MECHI HATA HAIJAANZA na kama angekuwa amepigwa ndani ya uwanja basi mashabiki wa Yanga wanahaki ya kufungiwa ila tukio halijatokea ndani ya uwanja wakati mechi inaendelea

Timu ya Yanga inanafasi ya kuadhibiwa kwa kupigwa faini kwa kushindwa kutoa ulinzi wa kutosha kwa timu mgeni ila tukio haliwahusu mashabiki sababu halijatokea ndani ya uwanja

Tukio limerecordiwa na CCTV kamera mhusika achukuliwe hatu ila sio sahii kuwatuhumu mashabiki wa Yanga kwa sababu lile eneo hawarusiwi kuwepo
 
Unaposema haijatokea ndani ya uwanja, kwa hiyo wewe unaelewa uwanjani ni ile tu sehemu ya kuchezea mpira?
Sio kila eneo ndani ya uwanja washabiki wanarusiwa kwenda mfano maeneo kama ya press conference mshabiki hatakiwi kwenda au timu inapofanya warming up mashabiki hawarusiwi kwenda karibu
 
Unamkosoa rais wako ajaye sio? Halafu hoja yake anatumia udhaanifu tuu.
Sio kila eneo ndani ya uwanja washabiki wanarusiwa kwenda mfano maeneo kama ya press conference mshabiki hatakiwi kwenda au timu inapofanya warming up mashabiki hawarusiwi kwenda karibu
 
Ndani ya uwanja ni wapi?

Matukio kama ya huko Sudan ya Political instability, ligi yao usimama na timu zinaenda kucheza sehemu nyingine kwa sababu ya usalama.

Je, suala kama hili la huko Sudan, tunatafsiri kuwa limetokea uwanjani?
 
Nimeona watu wanasema Yanga ifungiwe kwa sababu mtu aliyempiga kocha wa gaborone ni mshabiki wa Yanga

Lakini lile eneo alilopigwa kocha wa gaborone sidhani kama mshabiki anarusiwa kuwepo, na hata viongozi hawarusiwi kuwepo

Na pia kocha wa gaborone hajapigwa ndani ya uwanja na kama angekuwa amepigwa ndani ya uwanja basi mashabiki wa Yanga wanahaki ya kufungiwa ila tukio halijatokea ndani ya uwanja

Timu ya Yanga inanafasi ya kuadhibiwa kwa kupigwa faini kwa kushindwa kutoa ulinzi wa kutosha kwa timu mgeni ila tukio haliwahusu mashabiki sababu halijatokea ndani ya uwanja

Tukio limerecordiwa na CCTV kamera mhusika achukuliwe hatu ila sio sahii kuwatuhumu mashabiki wa Yanga kwa sababu lile eneo hawarusiwi kuwepo

Hapo juu ulishajijibu mwenyewe,,,

Kanuni za Nidhamu za CAF​

  • Kifungu cha 83 – Usalama na Ulinzi: Vilabu vinapaswa kuhakikisha usalama wa wachezaji, maofisa, na wafanyakazi.
  • Kifungu cha 84 – Utovu wa Nidhamu wa Mashabiki: Vilabu vinawajibika kwa tabia ya vurugu ya mashabiki wao.
  • Kifungu cha 85 – Shambulio: Shambulio la kimwili dhidi ya maofisa au wapinzani linaweza kusababisha faini, kusimamishwa, au marufuku ya uwanja.
 
Nimeona watu wanasema Yanga ifungiwe kwa sababu mtu aliyempiga kocha wa gaborone ni mshabiki wa Yanga

Lakini lile eneo alilopigwa kocha wa gaborone sidhani kama mshabiki anarusiwa kuwepo, na hata viongozi hawarusiwi kuwepo

Na pia kocha wa gaborone hajapigwa ndani ya uwanja na kama angekuwa amepigwa ndani ya uwanja basi mashabiki wa Yanga wanahaki ya kufungiwa ila tukio halijatokea ndani ya uwanja

Timu ya Yanga inanafasi ya kuadhibiwa kwa kupigwa faini kwa kushindwa kutoa ulinzi wa kutosha kwa timu mgeni ila tukio haliwahusu mashabiki sababu halijatokea ndani ya uwanja

Tukio limerecordiwa na CCTV kamera mhusika achukuliwe hatu ila sio sahii kuwatuhumu mashabiki wa Yanga kwa sababu lile eneo hawarusiwi kuwepo
Kwa hiyo unataka kusema amepigwa na wasiojulikana? Kwa kosa gani?
 
Sio kila eneo ndani ya uwanja washabiki wanarusiwa kwenda mfano maeneo kama ya press conference mshabiki hatakiwi kwenda au timu inapofanya warming up mashabiki hawarusiwi kwenda karibu
Umeandika tukio halijatokea ndani ya uwanja hivyo haliwahusu mashabiki.
Jenga hoja ya kutetea mashabiki lakini usiseme tukio halijatokea ndani ya uwanja sababu uwanjani sio tu ile sehemu ya kuchezea.
 
Nimeona watu wanasema Yanga ifungiwe kwa sababu mtu aliyempiga kocha wa gaborone ni mshabiki wa Yanga

Lakini lile eneo alilopigwa kocha wa gaborone sidhani kama mshabiki anarusiwa kuwepo, na hata viongozi hawarusiwi kuwepo

Na pia kocha wa gaborone hajapigwa ndani ya uwanja na kama angekuwa amepigwa ndani ya uwanja basi mashabiki wa Yanga wanahaki ya kufungiwa ila tukio halijatokea ndani ya uwanja

Timu ya Yanga inanafasi ya kuadhibiwa kwa kupigwa faini kwa kushindwa kutoa ulinzi wa kutosha kwa timu mgeni ila tukio haliwahusu mashabiki sababu halijatokea ndani ya uwanja

Tukio limerecordiwa na CCTV kamera mhusika achukuliwe hatu ila sio sahii kuwatuhumu mashabiki wa Yanga kwa sababu lile eneo hawarusiwi kuwepo
Kupiga,bila kujali eneo kama ni sebuleni au shambani,ni kosa au si kosa?
 
Nimeona watu wanasema Yanga ifungiwe kwa sababu mtu aliyempiga kocha wa gaborone ni mshabiki wa Yanga

Lakini lile eneo alilopigwa kocha wa gaborone sidhani kama mshabiki anarusiwa kuwepo, na hata viongozi hawarusiwi kuwepo

Na pia kocha wa gaborone hajapigwa ndani ya uwanja na kama angekuwa amepigwa ndani ya uwanja basi mashabiki wa Yanga wanahaki ya kufungiwa ila tukio halijatokea ndani ya uwanja

Timu ya Yanga inanafasi ya kuadhibiwa kwa kupigwa faini kwa kushindwa kutoa ulinzi wa kutosha kwa timu mgeni ila tukio haliwahusu mashabiki sababu halijatokea ndani ya uwanja

Tukio limerecordiwa na CCTV kamera mhusika achukuliwe hatu ila sio sahii kuwatuhumu mashabiki wa Yanga kwa sababu lile eneo hawarusiwi kuwepo
lile eneo alilopigwa kocha wa gaborone "sidhani" kama mshabiki anarusiwa kuwepo,
Sidhani! Yaani hauna uhakika. Ungechukua muda kuchunguza na kutuletea kitu sahihi ili mjadala uwe na hitimisho la uhakika badala ya kudhani.
 
Nikiwa kama shabiki wa Yanga,,Yanga ikemee kwa ukali hili jambo na kutoa ushirikiano ili waliohusika wawajabishwe.
Mleta uzi anapigapiga chenga tu.Hajui hata anataka nini au iweje.Anaeleza kosa hili,halafu analibariki tena anaondoka.
 
Back
Top Bottom