Eneo alilopigwa kocha wa Gabarone mashabiki au viongozi hawarusiwi kuwepo

Wewe huna akili ushabiki maandazi tu uwanja umekabidhiwa kwa timu wenyeji na huyu jamaa ni mlinzi wa utopolo anaruhusiwa kuwa sehemu yeyote ile isipokuwa kwenye majukwaa na vyumba vya wapinzani siku nyingi usiongeage ujinga utapigwa miti
 
Eneo alilopigwa kocha mashabiki hawarusiwu kuwepo muwe mnaelewa
Washabiki wa Yanga hawahusiki
 
Nilishasema sana Yanga ni timu ya wahuni wasio na akili. Huwa hamnielewi. Ukitaka kuona hiki unachosema, angalia baada ya mechi Hersi huwa anatafuta nini uwanjani kukumbatia-kumbatia wachezaji na kupiga stori. Ni upuuzi tu, sasa leo imeleta madhara
 
Pale unapotumia hisia na akili unaziweka mfukoni
 
Kama vyombo vya usalama vipo SERIOUS... Huyu mtu atafutwe na hatua kali zichukuliwe for public interest....kabla ya mamlaka za nje.....

Hili ni doa kwa Taifa...( Hatuna uhuni huu, hata mech za Deby hatufiki huko)...
TZ Tunaandaa AFCON
 
Uzuri mmoja CCTV camera zimeripoti tukio zima kwa hiyo kumpata ni rahisi na inawezekana
 
Sio kila eneo ndani ya uwanja washabiki wanarusiwa kwenda mfano maeneo kama ya press conference mshabiki hatakiwi kwenda au timu inapofanya warming up mashabiki hawarusiwi kwenda karibu
Sasa huoni kama Yanga inastahili adhabu kali kwa mashabiki wake kuonekana sehemu wasioruhusiwa kuwepo?

Nani anapaswa kuwazuia wasiende huko? Timu ngeni au mwenyeji?
 
Mleta mada na wafanya fujo ni walewale. Kwanza sijui hata anajua anahoji nini
 
Sasa huoni kama Yanga inastahili adhabu kali kwa mashabiki wake kuonekana sehemu wasioruhusiwa kuwepo?

Nani anapaswa kuwazuia wasiende huko? Timu ngeni au mwenyeji?
Anachomaanisha labda ni kwamba Yule jamaa hakuwa Shabiki, ila staff member wa Yanga. Ni kwamba hata Mimi naweza hoji labda, ikitokea member wa benchi la ufundi la Yanga amempiga Kocha wa upinzani, Je, Adhabu inaweza kuwa ni kwa mashabiki ambao hawakuhusika na shambulizi?
 
Back
Top Bottom