Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Unamkosoa rais wako ajaye sio? Halafu hoja yake anatumia udhaanifu tuu.Unaposema haijatokea ndani ya uwanja, kwa hiyo wewe unaelewa uwanjani ni ile tu sehemu ya kuchezea mpira?
Sio kila eneo ndani ya uwanja washabiki wanarusiwa kwenda mfano maeneo kama ya press conference mshabiki hatakiwi kwenda au timu inapofanya warming up mashabiki hawarusiwi kwenda karibuUnaposema haijatokea ndani ya uwanja, kwa hiyo wewe unaelewa uwanjani ni ile tu sehemu ya kuchezea mpira?
Sio kila eneo ndani ya uwanja washabiki wanarusiwa kwenda mfano maeneo kama ya press conference mshabiki hatakiwi kwenda au timu inapofanya warming up mashabiki hawarusiwi kwenda karibuUnamkosoa rais wako ajaye sio? Halafu hoja yake anatumia udhaanifu tuu.
Soma tena uzi vizuri nimejibu hili swali uliloulizaNani alikua na wajibu wa kuzuia shabiki asifike eneo hili
Hiyo itunze kwanza... tuangalie hili la usalama hafifu katika viwanja vya michezo na makomandoo wa GSM ambao wameshindwa mkamata muhusikaSheria ya Fifa iliyotoka juzi inasema wapokwe ushindi
Nimeona watu wanasema Yanga ifungiwe kwa sababu mtu aliyempiga kocha wa gaborone ni mshabiki wa Yanga
Lakini lile eneo alilopigwa kocha wa gaborone sidhani kama mshabiki anarusiwa kuwepo, na hata viongozi hawarusiwi kuwepo
Na pia kocha wa gaborone hajapigwa ndani ya uwanja na kama angekuwa amepigwa ndani ya uwanja basi mashabiki wa Yanga wanahaki ya kufungiwa ila tukio halijatokea ndani ya uwanja
Timu ya Yanga inanafasi ya kuadhibiwa kwa kupigwa faini kwa kushindwa kutoa ulinzi wa kutosha kwa timu mgeni ila tukio haliwahusu mashabiki sababu halijatokea ndani ya uwanja
Tukio limerecordiwa na CCTV kamera mhusika achukuliwe hatu ila sio sahii kuwatuhumu mashabiki wa Yanga kwa sababu lile eneo hawarusiwi kuwepo
Kwa hiyo unataka kusema amepigwa na wasiojulikana? Kwa kosa gani?Nimeona watu wanasema Yanga ifungiwe kwa sababu mtu aliyempiga kocha wa gaborone ni mshabiki wa Yanga
Lakini lile eneo alilopigwa kocha wa gaborone sidhani kama mshabiki anarusiwa kuwepo, na hata viongozi hawarusiwi kuwepo
Na pia kocha wa gaborone hajapigwa ndani ya uwanja na kama angekuwa amepigwa ndani ya uwanja basi mashabiki wa Yanga wanahaki ya kufungiwa ila tukio halijatokea ndani ya uwanja
Timu ya Yanga inanafasi ya kuadhibiwa kwa kupigwa faini kwa kushindwa kutoa ulinzi wa kutosha kwa timu mgeni ila tukio haliwahusu mashabiki sababu halijatokea ndani ya uwanja
Tukio limerecordiwa na CCTV kamera mhusika achukuliwe hatu ila sio sahii kuwatuhumu mashabiki wa Yanga kwa sababu lile eneo hawarusiwi kuwepo
Umeandika tukio halijatokea ndani ya uwanja hivyo haliwahusu mashabiki.Sio kila eneo ndani ya uwanja washabiki wanarusiwa kwenda mfano maeneo kama ya press conference mshabiki hatakiwi kwenda au timu inapofanya warming up mashabiki hawarusiwi kwenda karibu
Kupiga,bila kujali eneo kama ni sebuleni au shambani,ni kosa au si kosa?Nimeona watu wanasema Yanga ifungiwe kwa sababu mtu aliyempiga kocha wa gaborone ni mshabiki wa Yanga
Lakini lile eneo alilopigwa kocha wa gaborone sidhani kama mshabiki anarusiwa kuwepo, na hata viongozi hawarusiwi kuwepo
Na pia kocha wa gaborone hajapigwa ndani ya uwanja na kama angekuwa amepigwa ndani ya uwanja basi mashabiki wa Yanga wanahaki ya kufungiwa ila tukio halijatokea ndani ya uwanja
Timu ya Yanga inanafasi ya kuadhibiwa kwa kupigwa faini kwa kushindwa kutoa ulinzi wa kutosha kwa timu mgeni ila tukio haliwahusu mashabiki sababu halijatokea ndani ya uwanja
Tukio limerecordiwa na CCTV kamera mhusika achukuliwe hatu ila sio sahii kuwatuhumu mashabiki wa Yanga kwa sababu lile eneo hawarusiwi kuwepo
Soma tena mbona nimeelezea kila jamboKupiga,bila kujali eneo kama ni sebuleni au shambani,ni kosa au si kosa?
lile eneo alilopigwa kocha wa gaborone "sidhani" kama mshabiki anarusiwa kuwepo,Nimeona watu wanasema Yanga ifungiwe kwa sababu mtu aliyempiga kocha wa gaborone ni mshabiki wa Yanga
Lakini lile eneo alilopigwa kocha wa gaborone sidhani kama mshabiki anarusiwa kuwepo, na hata viongozi hawarusiwi kuwepo
Na pia kocha wa gaborone hajapigwa ndani ya uwanja na kama angekuwa amepigwa ndani ya uwanja basi mashabiki wa Yanga wanahaki ya kufungiwa ila tukio halijatokea ndani ya uwanja
Timu ya Yanga inanafasi ya kuadhibiwa kwa kupigwa faini kwa kushindwa kutoa ulinzi wa kutosha kwa timu mgeni ila tukio haliwahusu mashabiki sababu halijatokea ndani ya uwanja
Tukio limerecordiwa na CCTV kamera mhusika achukuliwe hatu ila sio sahii kuwatuhumu mashabiki wa Yanga kwa sababu lile eneo hawarusiwi kuwepo
Acha usanii.Au ndiyo unataka kugombea urais kwa njia ya mkato?Soma tena mbona nimeelezea kila jambo
Mleta uzi anapigapiga chenga tu.Hajui hata anataka nini au iweje.Anaeleza kosa hili,halafu analibariki tena anaondoka.Nikiwa kama shabiki wa Yanga,,Yanga ikemee kwa ukali hili jambo na kutoa ushirikiano ili waliohusika wawajabishwe.