Eneo ambalo Manji ametoa kwa Yanga kwa ajili ya uwanja lina mgogoro

Eneo ambalo Manji ametoa kwa Yanga kwa ajili ya uwanja lina mgogoro

...yaan waziri awepo halafu mtu alete fyofyoko

Sent from Bombadier Q400 using JamiiForums aeroplane app
 
Ule uwanja kiuhalisia una makando kando yake mengi sana na ndo maana manji baada ya kuona katika serikali hii hana chake ameona ni bora awasukumie Yanga. lakini lengo lake lilikuwa ni aufanyie biashara ule uwanja. aliupata kwa bei ya chini sana kupitia serikali iliyopita. ila akaawambia anyamaze nao kwanza kwa kuwa ungeleta mgogoro mkubwa.

Na hiki ndicho kisa cha Manji kugombea udiwani akitegemea kuja kuwa Meya wa jiji ili baadaye afanye utaratibu wa kukimiliki kile kiwanja na vingine kwa namna atakayo yeye.Tunashukuru katika hili hakufanikiwa. lakini huu ndo ulikuwa mpango toka mwaka 2010 alipotaka kuwa meya wa jiji akaambiwa inabidi agombee udiwani. Akaona hiyo ni nafasi ya chini sana kwake. alikuja kuambiwa huwezi kuwa meya pasipo kuwa diwani. na ndo maana mwaka 2015 ilibidi agombee udiwani ili baadaye aje kuchaguliwa kuwa meya.ikashindikana. ndoto zake zikafa.

manji akapiga mahesabu ili kuikomoa serikali pia akaona ni bora awauzie kesi yanga kwa kujua kuwa serikali hapo haitaweza kuwanyang'anya uwanja yanga kwa kuwa italeta mgogoro. ila yeye atabaki kuwa kwenye nafasi nzuri ya kuwa amewasaidia yanga uwanja. kwa wenye akili huwa tunamjua manji kila anachofanya ana fanya kwa mahesabu.

Serikali tunaomba mmupitie kwa kina mkataba wa manunuzi wa ule uwanja. una madudu mengi sana ikiwezekana wananchi wa kigamboni wenye shida wapewe uwanja huo au yajengwe makazi ya gharama nafuu kwa wananchi.
 
Mbona Unadai aliununua kwa bei ya chini halafu tena unasema una makandokando mengi,Je unajua bei halali ya huo uwanja ili kuthibitisha kuwa alinunua bei ya chini? Je unamaanisha Yanga wamepewa Uwanja bila hati ya umiliki wa hiyo ardhi?
Na serikali ni ya wananchi wote hivyo kama kiwanja kina kasoro serikali italazimika kuchukua bila kujali cha timu gani maana serikali haina timu inayoitwa Yanga bali ina timu inayoitwa Taifa starz
 
Hapo umenena! Serikali waufanyie ukaguzi hiyo hati ya uwanja ili yanga awe mmilik halali!
Kama NDALA akifanikiwa kukabidhiwa kihalal itakuwa faida kwao na hasara kwa KANJIBAI!
All in all manji umecheza mchezo mzuri kuliko wote mkose bora yanga ang'are.
 
Aisee,
Kumbe ndivyo ilivyokua??
Wacha hawa Wakubebwa FC walivabe hili Jumba bovu, pengine msala ukinuka watabebwa pia na serikali
 
Ule uwanja kiuhalisia una makando kando yake mengi sana na ndo maana manji baada ya kuona katika serikali hii hana chake ameona ni bora awasukumie Yanga. lakini lengo lake lilikuwa ni aufanyie biashara ule uwanja. aliupata kwa bei ya chini sana kupitia serikali iliyopita. ila akaawambia anyamaze nao kwanza kwa kuwa ungeleta mgogoro mkubwa.

na hiki ndicho kisa cha manji kugombea udiwani akitegemea kuja kuwa Meya wa jiji ili baadaye afanye utaratibu wa kukimiliki kile kiwanja na vingine kwa namna atakayo yeye.tunashukuru katika hili hakufanikiwa. lakini huu ndo ulikuwa mpango toka mwaka 2010 alipotaka kuwa meya wa jiji akaambiwa inabidi agombee udiwani. akaona hiyo ni nafasi ya chini sana kwake. alikuja kuambiwa huwezi kuwa meya pasipo kuwa diwani. na ndo maana mwaka 2015 ilibidi agombee udiwani ili baadaye aje kuchaguliwa kuwa meya.ikashindikana. ndoto zake zikafa.

manji akapiga mahesabu ili kuikomoa serikali pia akaona ni bora awauzie kesi yanga kwa kujua kuwa serikali hapo haitaweza kuwanyang'anya uwanja yanga kwa kuwa italeta mgogoro. ila yeye atabaki kuwa kwenye nafasi nzuri ya kuwa amewasaidia yanga uwanja. kwa wenye akili huwa tunamjua manji kila anachofanya ana fanya kwa mahesabu.

Serikali tunaomba mmupitie kwa kina mkataba wa manunuzi wa ule uwanja. una madudu mengi sana ikiwezekana wananchi wa kigamboni wenye shida wapewe uwanja huo au yajengwe makazi ya gharama nafuu kwa wananchi.
aliuziwa na kampuni ya Nafco na kibali cha ujenzi wa hilo eneo lishatoka na ujenzi unaanza 23/10
 
Aisee,
Kumbe ndivyo ilivyokua??
Wacha hawa Wakubebwa FC walivabe hili Jumba bovu, pengine msala ukinuka watabebwa pia na serikali
Hahahaaaa hizi mechi aisee ni hatari sn,sasa mkuu mbona mada yako haiendani na mada kuu ya uzi huu??? ila usisahau kuwa ndiyo refa alishahamua mashabiki wa yanga hawakuwa refa na refa ndiyo muamuzi so hakuna mabadiliko ya goli lile la Tambwe ndo limeshakuwa goli hata tukilalamika hakuna namna ni kujipanga tuu ila ukumbuke kuna la maradona pia na kombe la dunia alibeba hahahaaaaa
 
Mkuu hawa yanga watakua lini? Mbeleko zinazidi sana, sitaki kuweka reference maana zingine bado ni fresh memento.
Kama CHAMA kinachomiliki timu hua kinabebwa kwenye Uchaguzi, unategemea Timu inayomilikiwa na Chama-bebwa nayo itaacha Kubebwa??
 
Wamatopeni bana, jana mmekoswa kupigwa hat-trick ya vipigo mfululizo mmeona mje mpumulie kwenye uwanja wa Yanga, kwani nyie si mna heka 17 pale Bunju, haziwatoshi?
 
Hahahaaaa hizi mechi aisee ni hatari sn,sasa mkuu mbona mada yako haiendani na mada kuu ya uzi huu??? ila usisahau kuwa ndiyo refa alishahamua mashabiki wa yanga hawakuwa refa na refa ndiyo muamuzi so hakuna mabadiliko ya goli lile la Tambwe ndo limeshakuwa goli hata tukilalamika hakuna namna ni kujipanga tuu ila ukumbuke kuna la maradona pia na kombe la dunia alibeba hahahaaaaa
Uwanja umepewa yanga afrika na hati ya umiliki itabadilishwa. Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wetu yanga
 
Mkuu hawa yanga watakua lini? Mbeleko zinazidi sana, sitaki kuweka reference maana zingine bado ni fresh memento.
Mbona unalialia? Uwezo wenu wa soka kwasasa bado hamjawafikia Yanga, jengeni timu kwanza walau kwa misimu mitatu ndipo mje msimame na Yanga. Mlifikiri mnacheza na Majimaji?
 
Mbona unalialia? Uwezo wenu wa soka kwasasa bado hamjawafikia Yanga, jengeni timu kwanza walau kwa misimu mitatu ndipo mje msimame na Yanga. Mlifikiri mnacheza na Majimaji?
Ni kweli kabisa hasa kwenye kipengele cha kubebwa na mabao ya mkono
 
Back
Top Bottom