Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hapa ndipo ninapothibitisha kuwa hawa ni mbumbumbu fc aka wa mchangani wazee wa ndondo cup,Hawezi kukuelewa huyu,kwani yeye lengo la kusema hayo ni kukatisha tamaa wana Yanga kwa kuwa anatambua kazi ya Manji pale Jangwani,kwani kwa miaka minne mfululizo walikosa raha mpaka na wao wameenda kumkurupua MO Dewji aje awaokolee jahazi lao,na cha ajabu ni kwamba wakati wao wanaicheka YANGA kufanya Management contract na Manji hawajishangai wao wanaoenda kumpa mtu timu na rasimali zake zote kwa kuahidiwa hisa ambazo hata iweje hawawezi kuwa majority share holder japo wao ni wengi,hawa hawajitambui ,wivu unawasumbua na roho inawauma kwa kuwa wanajua kuendelea kuwepo kwa Manji pale Jangwani ni sawa na kuendelea kwa sherehe kwa misimu ijayo.
Kasema anaidai yanga bilioni 11,kwa hiyo akodishwe halafu eti yeye atalipa hilo deni!Halafu hachelewi kusema naidai yanga bil 20 !