Eneo ambalo Manji ametoa kwa Yanga kwa ajili ya uwanja lina mgogoro

Eneo ambalo Manji ametoa kwa Yanga kwa ajili ya uwanja lina mgogoro

kumbe ndo maana Watanzania wengi ni maskini....! Asante mheshimiwa MAKONDA kwa kunipa jibu.
 
Hawezi kukuelewa huyu,kwani yeye lengo la kusema hayo ni kukatisha tamaa wana Yanga kwa kuwa anatambua kazi ya Manji pale Jangwani,kwani kwa miaka minne mfululizo walikosa raha mpaka na wao wameenda kumkurupua MO Dewji aje awaokolee jahazi lao,na cha ajabu ni kwamba wakati wao wanaicheka YANGA kufanya Management contract na Manji hawajishangai wao wanaoenda kumpa mtu timu na rasimali zake zote kwa kuahidiwa hisa ambazo hata iweje hawawezi kuwa majority share holder japo wao ni wengi,hawa hawajitambui ,wivu unawasumbua na roho inawauma kwa kuwa wanajua kuendelea kuwepo kwa Manji pale Jangwani ni sawa na kuendelea kwa sherehe kwa misimu ijayo.
Yaani hapa ndipo ninapothibitisha kuwa hawa ni mbumbumbu fc aka wa mchangani wazee wa ndondo cup,
Wanacheka jirani kukodisha nyumba yake ilihali yy kauza kabisa ,hv nani hapa hamnazo ,anayeuza au kukodisha..!!??
Wanacheka au wanalia..!!??
Waambie wapambane ili walau mwakani wapande bombardier q800 la sivyo hali itakuwa mbaya zaidi .
Poor wa mchangani .
 
Yatasemwa mengi sana ya kukatisha tamaa, lakini ukweli sasa mchezo wa mpira utakuwepo kisawasawa Tanzania.
 
Halafu hachelewi kusema naidai yanga bil 20 !
Kasema anaidai yanga bilioni 11,kwa hiyo akodishwe halafu eti yeye atalipa hilo deni!
halafu ataipa yanga milioni 100 kwa mwaka!!
yanga wakikasirika mechi moja tu wanapata zaidi ya 100,huyu TP anawapa 100 kwa mwaka,mie mtu naweza kumfanya kitu mbaya sana kwa kuniita yanga
 
Back
Top Bottom