Zenye ukweli mchungu [emoji23] [emoji23] [emoji23]chuki binafsi.
aliuziwa na kampuni ya Nafco na kibali cha ujenzi wa hilo eneo lishatoka na ujenzi unaanza 23/10Ule uwanja kiuhalisia una makando kando yake mengi sana na ndo maana manji baada ya kuona katika serikali hii hana chake ameona ni bora awasukumie Yanga. lakini lengo lake lilikuwa ni aufanyie biashara ule uwanja. aliupata kwa bei ya chini sana kupitia serikali iliyopita. ila akaawambia anyamaze nao kwanza kwa kuwa ungeleta mgogoro mkubwa.
na hiki ndicho kisa cha manji kugombea udiwani akitegemea kuja kuwa Meya wa jiji ili baadaye afanye utaratibu wa kukimiliki kile kiwanja na vingine kwa namna atakayo yeye.tunashukuru katika hili hakufanikiwa. lakini huu ndo ulikuwa mpango toka mwaka 2010 alipotaka kuwa meya wa jiji akaambiwa inabidi agombee udiwani. akaona hiyo ni nafasi ya chini sana kwake. alikuja kuambiwa huwezi kuwa meya pasipo kuwa diwani. na ndo maana mwaka 2015 ilibidi agombee udiwani ili baadaye aje kuchaguliwa kuwa meya.ikashindikana. ndoto zake zikafa.
manji akapiga mahesabu ili kuikomoa serikali pia akaona ni bora awauzie kesi yanga kwa kujua kuwa serikali hapo haitaweza kuwanyang'anya uwanja yanga kwa kuwa italeta mgogoro. ila yeye atabaki kuwa kwenye nafasi nzuri ya kuwa amewasaidia yanga uwanja. kwa wenye akili huwa tunamjua manji kila anachofanya ana fanya kwa mahesabu.
Serikali tunaomba mmupitie kwa kina mkataba wa manunuzi wa ule uwanja. una madudu mengi sana ikiwezekana wananchi wa kigamboni wenye shida wapewe uwanja huo au yajengwe makazi ya gharama nafuu kwa wananchi.
Ukweli hua haumezeki siku zote...Zenye ukweli mchungu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaa hizi mechi aisee ni hatari sn,sasa mkuu mbona mada yako haiendani na mada kuu ya uzi huu??? ila usisahau kuwa ndiyo refa alishahamua mashabiki wa yanga hawakuwa refa na refa ndiyo muamuzi so hakuna mabadiliko ya goli lile la Tambwe ndo limeshakuwa goli hata tukilalamika hakuna namna ni kujipanga tuu ila ukumbuke kuna la maradona pia na kombe la dunia alibeba hahahaaaaaAisee,
Kumbe ndivyo ilivyokua??
Wacha hawa Wakubebwa FC walivabe hili Jumba bovu, pengine msala ukinuka watabebwa pia na serikali
Mkuu hawa yanga watakua lini? Mbeleko zinazidi sana, sitaki kuweka reference maana zingine bado ni fresh memento.Zenye ukweli mchungu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama CHAMA kinachomiliki timu hua kinabebwa kwenye Uchaguzi, unategemea Timu inayomilikiwa na Chama-bebwa nayo itaacha Kubebwa??Mkuu hawa yanga watakua lini? Mbeleko zinazidi sana, sitaki kuweka reference maana zingine bado ni fresh memento.
Uwanja umepewa yanga afrika na hati ya umiliki itabadilishwa. Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wetu yangaHahahaaaa hizi mechi aisee ni hatari sn,sasa mkuu mbona mada yako haiendani na mada kuu ya uzi huu??? ila usisahau kuwa ndiyo refa alishahamua mashabiki wa yanga hawakuwa refa na refa ndiyo muamuzi so hakuna mabadiliko ya goli lile la Tambwe ndo limeshakuwa goli hata tukilalamika hakuna namna ni kujipanga tuu ila ukumbuke kuna la maradona pia na kombe la dunia alibeba hahahaaaaa
Mbona unalialia? Uwezo wenu wa soka kwasasa bado hamjawafikia Yanga, jengeni timu kwanza walau kwa misimu mitatu ndipo mje msimame na Yanga. Mlifikiri mnacheza na Majimaji?Mkuu hawa yanga watakua lini? Mbeleko zinazidi sana, sitaki kuweka reference maana zingine bado ni fresh memento.
Amen.. Manji ana visionUwanja umepewa yanga afrika na hati ya umiliki itabadilishwa. Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wetu yanga
Ni kweli kabisa hasa kwenye kipengele cha kubebwa na mabao ya mkonoMbona unalialia? Uwezo wenu wa soka kwasasa bado hamjawafikia Yanga, jengeni timu kwanza walau kwa misimu mitatu ndipo mje msimame na Yanga. Mlifikiri mnacheza na Majimaji?
Wameshazoea vya kunyongaMkuu hawa yanga watakua lini? Mbeleko zinazidi sana, sitaki kuweka reference maana zingine bado ni fresh memento.