Eneo ambalo Manji ametoa kwa Yanga kwa ajili ya uwanja lina mgogoro

Mkuu hawa yanga watakua lini? Mbeleko zinazidi sana, sitaki kuweka reference maana zingine bado ni fresh memento.
Mkuu Jogi,Tambwe aliwapima Oil kwanza akakuta tayari mshalowa so akaamua awape kimoja cha Afya.
 
Wivu wa kike! Manji anahela ya kununua hata Ikulu pale mkitangaza kupauza.. Na Yanga inabebwa kwasababu INABEBEKA. Sio nyinyi Simba mkibembwa mnajilegeza.. jamaa anawaambia mnavyofanya hivyo me naumia jishikilieni, MNANENG'ENEKA... Na BADOH.
 
Aaa Kichuya zaidi, hahitaji mbwembwe, inaingia yenyewe nywiiiiiiii!
Nzuri ni ile ya kupima oil,kunawa then kupiga bao rahaaaaaa kabisa mpaka mtu anajisahau anavunja kitu alichokalia kwa utamu wa hilo bao.
 
Kuna harambee ilikuwa inapita whatsapp ya kutafuta ushindi wa Simba, vipi hazikupatikana za kutosha?
Funguka,harambee ya nini?We kama umetapeliwa Shauri yako.Hatuna ujinga wa kuhonga marefa tungekua nao Kuna haja gani ya kuzunguka whatsApp kupitisha bakuli.Sasa hivi tuna hela si mchezo ndugu..
 
Funguka,harambee ya nini?We kama umetapeliwa Shauri yako.Hatuna ujinga wa kuhonga marefa tungekua nao Kuna haja gani ya kuzunguka whatsApp kupitisha bakuli.Sasa hivi tuna hela si mchezo ndugu..
Kama mliweza kula rambirambi ya Marehemu Mafisango tena aliekuwa tegemeo lenu ndio mtashindwa kutapeli hili la kutafuta ushindi.
 
Kama CHAMA kinachomiliki timu hua kinabebwa kwenye Uchaguzi, unategemea Timu inayomilikiwa na Chama-bebwa nayo itaacha Kubebwa??
Ila mbaya Zaidi mbowe anaelalamikia chama fulani kubebwa, jana anashangilia kubebwa kwa yanga, Simba sasa waache kuzingusha mikono washangilie kivingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…