Eneo ambalo Manji ametoa kwa Yanga kwa ajili ya uwanja lina mgogoro

kumbe ndo maana Watanzania wengi ni maskini....! Asante mheshimiwa MAKONDA kwa kunipa jibu.
 
Yaani hapa ndipo ninapothibitisha kuwa hawa ni mbumbumbu fc aka wa mchangani wazee wa ndondo cup,
Wanacheka jirani kukodisha nyumba yake ilihali yy kauza kabisa ,hv nani hapa hamnazo ,anayeuza au kukodisha..!!??
Wanacheka au wanalia..!!??
Waambie wapambane ili walau mwakani wapande bombardier q800 la sivyo hali itakuwa mbaya zaidi .
Poor wa mchangani .
 
Yatasemwa mengi sana ya kukatisha tamaa, lakini ukweli sasa mchezo wa mpira utakuwepo kisawasawa Tanzania.
 
Halafu hachelewi kusema naidai yanga bil 20 !
Kasema anaidai yanga bilioni 11,kwa hiyo akodishwe halafu eti yeye atalipa hilo deni!
halafu ataipa yanga milioni 100 kwa mwaka!!
yanga wakikasirika mechi moja tu wanapata zaidi ya 100,huyu TP anawapa 100 kwa mwaka,mie mtu naweza kumfanya kitu mbaya sana kwa kuniita yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…