Eneo kama hili lipo wapi Tanzania ili nikaishi?

Hapo ni Switzerland. Kibongo bongo Lushoto unaweza kupata eneo kama hilo.

Topography ya Lushoto inafanana sana na nchi za ulaya magharibi vijijini kama Uswisi na Ujerumani.

Hapa ni Lushoto - Swiss Farm Cottage
 
Attachments

  • IMG_8381.jpg
    51.3 KB · Views: 11
  • IMG_8382.jpg
    27.9 KB · Views: 9
  • IMG_8383.jpg
    31.5 KB · Views: 11
  • IMG_8384.jpg
    26.9 KB · Views: 8
  • IMG_8385.jpg
    28.6 KB · Views: 8
  • IMG_8386.jpg
    30.5 KB · Views: 10
  • IMG_8387.jpg
    27.7 KB · Views: 8
  • IMG_8388.jpg
    50.6 KB · Views: 12
ndoton
 
Dah nimecheka sana aisee! Yaani hizo ndio tabia zetu kabisa wabongo.
 
Buza
 
Huko ni kama Kitulo - Njombe alikokuwa Mama (Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) juzi.
 
Huko ni kama Kitulo - Njombe alikokuwa Mama (Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) juzi.
Naweza kuona picha halisi ya eneo hilo mkuu nione kama binadamu anaishi na anaruhusiwa kuishi hapo?.

Maana unaweza kunionyesha picha ya mashamba ya maua alafu pameandikwa RESTRICTED NO HUMANI LIVE!
 
Naweza kuona picha halisi ya eneo hilo mkuu nione kama binadamu anaishi na anaruhusiwa kuishi hapo?.

Maana unaweza kunionyesha picha ya mashamba ya maua alafu pameandikwa RESTRICTED NO HUMANI LIVE!
Ni kweli kwenye maeneo ya hifadhi shughuli za kibinadamu haziruhusiwi. Hii ikiwa ni pamoja na eneo la Hifadhi ya Kitulo. Hata hivyo, eneo lote la Kitulo Plateau halipo kwenye eneo la TANAPA. Kuna maeneo ya nje ya hifadhi yana mazingira sawa kwa uoto na yale yaliyomo kwenye hifadhi. Maeneo hayo yana makazi ambayo shughuli za kibinadamu zinaendelea kufanyika. Ndio hayo ninayoyazungumzia mimi. Picha za hayo maeneo nitaziweka hapa jamvini nikijaliwa kurudi tena Kitulo. Ama kwa hakika eneo la Kitulo ni zuri mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…