Eneo kama hili lipo wapi Tanzania ili nikaishi?

Eneo kama hili lipo wapi Tanzania ili nikaishi?

Kuna sehemu pale Kilimanjaro nilikuwa ndani ya ndege nikaona eneo lipo tambarare limetulia sana. Sio kama hivi ila hilo eneo pazuri kweli
 
Pale karibu na geti sio?
Wanaita kilipunda...ni eneo byuti byuti sana
Kuna ile location pale kwaya zinapenda sana kufanyia records za sinema, hapo palifaa kuwepo mijengo kama hiyo, ningekwenda kuishi ila full time unakuta mifugo hasa kondoo😁!
 
Kuna ile location pale kwaya zinapenda sana kufanyia records za sinema, hapo palifaa kuwepo mijengo kama hiyo, ningekwenda kuishi ila full time unakuta mifugo hasa kondoo😁!
Hilo eneo naona halijengwi wanaita kilima tembo
 
lushoto na kule marangu ni maeneo yanayofanana sana na picha yako mtoa mada
Mkuu bahati mbaya sana sina picha za location za Lushoto ninazo za kawaida sana, so please usilinganishe kabisa, but ni lushoto sehemu gani unataka kusema inakaribia hilo eneo, me nataka nikaishi huko asee!, Kwa malangu kidoogo mfano karibu na kwa marehemu Mengi ila mmepanda miti kama poli, nyumba hazionekani 😁!.
 
Back
Top Bottom