Eneo kama hili lipo wapi Tanzania ili nikaishi?

Eneo kama hili lipo wapi Tanzania ili nikaishi?

Tatizo la binadamu ni 1 tu,tumeumbwa na kitu kinaitwa 'kukinai',ukishakaa hapo baada ya muda flani utajionea ni pa kawaida tu.

Watakaokua excited Ni wale wageni wako wanaokuja kusalimia kwako lkn mwenye nyumba unakua huna habari tena.
 
Ni kama mara yangu ya kwanza kuja ulaya. Yani Sasa hivi napaona pa kawaida tu. Nilisema nikiingia nitagonga Sana wanawake wa kizungu tofauti tofauti Yani yamenikinai kichiz nayaona ya kawaida tu na ya hovyo. Totoz ni bantu tuu maamaee.
 
Eneo kama hilo unaweza kulipata Bukoba (Maeneo ya Tarafa ya Bugabo na kata ya Nyakato)
Pia Wilaya ya Mvomero Tarafa ya Mgeta Hasa Kata ya Nyandila
 
Hapana mkuu, labda kama unataka kuwadanganya wasiowahi kufika huko.

But angalia vizuri hiyo picha alafu vuta taswira kwa kutafuta eneo kama hilo pale Lushoto!.
Nahisi we hujawahi kufika Lushoto....greenish hiyo inapatikana Lushoto tu mwaka nzima
 
Kidogo naweza kukuunga mkono kutokana na eneo hilo hasa pale karibu na chuo cha misitu Olmotonyi, ila ujenzi wa pale umekaa kihunihuni sana.
Pale karibu na geti sio?
Wanaita kilipunda...ni eneo byuti byuti sana
 
Ni kama mara yangu ya kwanza kuja ulaya. Yani Sasa hivi napaona pa kawaida tu. Nilisema nikiingia nitagonga Sana wanawake wa kizungu tofauti tofauti Yani yamenikinai kichiz nayaona ya kawaida tu na ya hovyo. Totoz ni bantu tuu maamaee.
Hahaha ndo tumeumbwa hivyo mkuu, excitements zinakuaga mwanzoni tu baada ya muda kunakua hakuna jipya tena.
 
Ni kama mara yangu ya kwanza kuja ulaya. Yani Sasa hivi napaona pa kawaida tu. Nilisema nikiingia nitagonga Sana wanawake wa kizungu tofauti tofauti Yani yamenikinai kichiz nayaona ya kawaida tu na ya hovyo. Totoz ni bantu tuu maamaee.
Hili eneo linafanana na kijiji flani Denmark kinaitwa Ebeltoft nathani mabangi utanielewa zaidi...kuna kansitu kadogo kwa upande mmoja
 
Attachments

  • 20211204_175909.jpg
    20211204_175909.jpg
    2 MB · Views: 13
Hilo eneo la kawaida sana tena linaonesha lina baridi kali
hakuna miti (ipo kidogo sana) ambayo inapukutisha majani yote wakati wa baridi

Hakuna hata mti wa matunda.... eneo kuuubwa lipo wazi?

Uzuri wake ni nini au ni hiyo milima? nyasi si unaotesha
Labda kama umependa hizo nyumba pamoja na kuwa zimejengwa bondeni/mvua zikiwa nyingi?

Naona kama wameweka concrete sehemu ya chini kuzua maji... ila kiujumla hakuna cha ajabu hapo!!!
Unaleta ujuaji kwenye ndoto za watu?
Hayo uliyoaandika ni mtazamo wako tu.
Yeye anataka eneo kama hili
 
nje ya mada..

mbona roofing style za ulaya huwa ni pitched roof na hazina complications nyingi tofauti na huku bongo
Inategemea na nchi, mfano nchi za scandnavia ujenzi wao ni plain design compare to German & French.
 
Back
Top Bottom