Eneo kama hili lipo wapi Tanzania ili nikaishi?

Eneo kama hili lipo wapi Tanzania ili nikaishi?

Ukienda uko utaanzisha kibanda cha Mpesa, mara uanze kuuza mkaa hapo nje, uende na san lg yako uanze kupiga boda, ufungue kijiwe cha kahawa, ubandike matangazo ya dalali na freemason.. kwisha kamji ka watu umeshakaharibu.

We tubaki manzese hapa hapa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom