Eneo kama hili lipo wapi Tanzania ili nikaishi?

Eneo kama hili lipo wapi Tanzania ili nikaishi?

Lushoto ilikuwa Zaman sahivi ni kwa maeneo machache sana tena hadi yatunzwe tena
Wakati Lushoto ya hivi ndio imetunza sana tofauti na zamani...nyie huku mkilalamika kiangazi kikali wao huko juu hata jua hawalioni , ni mwendo wa mvua na baridi
 
Kwa views zilizoenda shule Hakuna Tanzania hii ya kufanana na Lushoto
Mkuu hujatembea acha shobo.
Umewahi kufika Natron mlima wa kona 17.
Umewahi kufika kilima tembo uangalie view za Manyara?
Nchi hii ina uzuri mwingi kuliko unavyofikiri
 
Back
Top Bottom