Plot4Sale Eneo kwenye fensi kubwa na majengo linauzwa 70 Milioni, Kibaha kwa Mathiasi

Plot4Sale Eneo kwenye fensi kubwa na majengo linauzwa 70 Milioni, Kibaha kwa Mathiasi

Wiyumuka

Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
15
Reaction score
29
ENEO: Ukubwa wa 6,196 sqm (mita za mraba).

Ambalo limeendelezwa kwa kujengwa ukuta na majengo ya matumizi mbalimbali ambayo yapo katika hatua za kumalizika. umeme umekwisha fikishwa wa “three phase”.

Eneo lipo karibu na shule ya primary na secondary ya St. Flora/Mikongeni, lipo kwenye barabara ya kuelekea kiwanda cha kusindika nyama ya mbuzi cha Tan Choice Soga na Stesheni ya treni ya soga.

Pia lipo umbali wa wastani wa mita 700 toka kwenye eneo la ujenzi wa chuo cha kiislamu. umbali toka barabara ya rami ya Morogoro ni km 6, unaingilia Kibaha Kwa Mathias, unapita bungo kanisa la Efata kwa Mwingira, Chuo Kikuu Huria , Sekondari ya Sulvan Provost (Mikongeni), kisha Sagale.

Malipo: Utaratibu wa malipo ya awamu unapokelewa awamu ya kwanza 50Milioni.

Mawasiliano: 0744 356689
 

Attachments

  • RAMANI YA SHAMBA.pdf
    RAMANI YA SHAMBA.pdf
    951.7 KB · Views: 12
  • WhatsApp Image 2021-11-22 at 12.09.07 PM.jpeg
    WhatsApp Image 2021-11-22 at 12.09.07 PM.jpeg
    152.7 KB · Views: 23
  • WhatsApp Image 2021-11-22 at 12.09.08 PM.jpeg
    WhatsApp Image 2021-11-22 at 12.09.08 PM.jpeg
    104.5 KB · Views: 24
  • WhatsApp Image 2021-11-22 at 12.09.08 PM (2).jpeg
    WhatsApp Image 2021-11-22 at 12.09.08 PM (2).jpeg
    138.5 KB · Views: 22
  • WhatsApp Image 2021-11-22 at 12.09.12 PM.jpeg
    WhatsApp Image 2021-11-22 at 12.09.12 PM.jpeg
    168 KB · Views: 21
  • WhatsApp Image 2021-11-22 at 12.09.14 PM (1).jpeg
    WhatsApp Image 2021-11-22 at 12.09.14 PM (1).jpeg
    128.9 KB · Views: 21
  • WhatsApp Image 2021-11-22 at 12.09.14 PM.jpeg
    WhatsApp Image 2021-11-22 at 12.09.14 PM.jpeg
    128.9 KB · Views: 21
Karibuni wadau kwa mazungumzo, na samahani nimeshindwa rekebisha sehemu ya kichwa cha habari badala ya neno "Eneo Lenye" inasomeka "Eneo Kenya"
 
Asante sana Moderator kwa marekebisho ya uandishi..
 
Back
Top Bottom