Eneo la 7.7-decare kwenye Mlima Herzl litahamishiwa kwa Wizara ya Ulinzi ya Israeli ili kutoa mahali pa kuwazika wanajeshi wa Israeli waliokufa

Eneo la 7.7-decare kwenye Mlima Herzl litahamishiwa kwa Wizara ya Ulinzi ya Israeli ili kutoa mahali pa kuwazika wanajeshi wa Israeli waliokufa

Netanyahu naamini hii ndio vita ya kwanza kwake kuona madhala ya vita ile siku anatangaza vita alidhani mambo yatakuwa mtelezo nakumbuka alisema Hamas wajisalimishe kitu alijua itakuwa ngumu kwa Hamas leo vita vimesababisha vifo vingi ambavyo vingeweza epukwa.
Kati ya viongozi wabovu sana kupatikana dunia hii tangu mwaka 2000 ni Bush, Netanyahu, Khamenei, na Putin. Watu hawa wameiharibu sana dunia na kuirudisha katika uhasama wa kivita ambao ulikuwa umeanza kupungua baada ya kuvunjika kwa USSR na kuisha kwa cold war.
 
Bora wafe kadhaa leo ili kulinda vifo vingi baadae. Hivi unaijua katiba ya Hamas inasemaje kuhusu Taifa la Israel? Waisrael wangechelewa, huenda nchi yao ingefutwa kwenye ramani ya dunia. Bado naona pamoja na vifo hivyo, maamuzi ya Netanyahu yalikuwa na bado yako sahihi. Na sisi
Kama unaijua katiba ya hamas hebu to screen shot hata phrase moja inayosema Israel ifutwe na sisi tujifunze au ndo hisia za vijiwe vya vigango
 
Kuna vita ambayo wanajeshi hawafi.?! Urusi na Ukraine wamepoteza maelfu ya wanajeshi lakini mapambano yanaendelea.
 
Kuna vita ambayo wanajeshi hawafi.?! Urusi na Ukraine wamepoteza maelfu ya wanajeshi lakini mapambano yanaendelea.
Hahahha hii kauli imetoka wapi tena wakati Netanyahu alisema hamna mwanajeshi atakayekufa😂
 
Israel wamechanganyokiwa tuliaminishwa zamani na vyombo vyao vya habari vya propaganda. Kuwa Israel ni makomandoo hawashidwi vita wana akili kuzidi binadamu wote, leo mwaka na zaidi wamenasa Gaza kaeneo kwenyewe kigamboni kubwa halafu eti anajitapa anaishambulia Iran, leo hii wanaanda sehemu kuzika wanajeshi😂
Mkuu, huwa huelewi nini? Hiyo GAZA haina HAMAS tuu, ina raia,wageni na hata wawekezaji kadhaa. Hamas kajichanganya na anavaa mavazi sawa na hso wote niliowataja. Unahitaji akili kubwa sana kupigana na watu wa aina hiyo. Hii vita yao haijaanza leo na haiishi leo. Alichosema Netanyahu yuko sahihi yaani "kudismantle Hamas military capabilities" nk. Ss hivi Hamas siyo tishio tena kama inavyoenda kuwa kina Hezebullah na Houths. Hao nao wanatumia the same technique kama Hamas.
 
Back
Top Bottom