M Msandali Member Joined Aug 26, 2022 Posts 16 Reaction score 13 Nov 3, 2026 #1 Habari JF, Eneo la shamba ekari 2 (mbili) Fukayosi Bagamoyo linauzwa sh 7m maongezi yapo. Shamba hili lipo kwenye eneo lililopimwa na kukatwa blocks na mitaa na wamiliki kupewa hati za kijiji. Hakuna udalali, mimi mwenyewe ndio mmiliki. Nitafute PM tuyajenge. Karibuni wadau.
Habari JF, Eneo la shamba ekari 2 (mbili) Fukayosi Bagamoyo linauzwa sh 7m maongezi yapo. Shamba hili lipo kwenye eneo lililopimwa na kukatwa blocks na mitaa na wamiliki kupewa hati za kijiji. Hakuna udalali, mimi mwenyewe ndio mmiliki. Nitafute PM tuyajenge. Karibuni wadau.
boda JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 354 Reaction score 303 Nov 3, 2026 #2 Bei gani? Pia ni Kilometa ngapi kutoka barabara Kuu?
M Msandali Member Joined Aug 26, 2022 Posts 16 Reaction score 13 Nov 3, 2026 Thread starter #3 boda said: Bei gani? Pia ni Kilometa ngapi kutoka barabara Kuu? Click to expand... Bei nimeitaja hapo juu ni sh 7m na maongezi yapo. Pia ni kilomita 9 kutoka barabara ya lami inayotoka Bagamoyo mjini kwenda Kiwangwa.
boda said: Bei gani? Pia ni Kilometa ngapi kutoka barabara Kuu? Click to expand... Bei nimeitaja hapo juu ni sh 7m na maongezi yapo. Pia ni kilomita 9 kutoka barabara ya lami inayotoka Bagamoyo mjini kwenda Kiwangwa.