Sonship
JF-Expert Member
- Apr 13, 2021
- 333
- 404
ENEO LA SHULE LENYE MICHEZO YA WATOTO LINAKODISHWA/KUUZWA
Eneo la Shule lenye Madarasa kwa ajili ya DAY CARE & NURSERY LINAKODISHWA AU KUUZWA kwa mteja yeyote mwenye uhitaji wa kununua.
Eneo hili lenye Ukubwa wa takribani Ekari 2, lipo Dar esalaam Matosa, Goba na lina Madarasa 4,Nyumba 1 ya vymba 2, Swimming Pool, Kisima cha Kuuza Maji, Garden kubwa kwa kufanyia Events mbalimbali na Michezo mbalimbali ya Watoto
Kwa sasa nimeligawa eneo hili ktk Options 3
1.Endapo mpangaji atalihitaji kulikodisha eneo lote na kila kilichomo, kama Madarasa, Mradi wa Maji, Swimming Pool, Garden n.k basi Kodi ni 1.8mil per month.
2.Endapo mpangaji atahitaji kukodi Madarasa tu na Jiko bila vitu vingine vilivyomo kama Swimming pools n.k, hapo atalipia Kodi ya 1mil tu kwa mwezi.
3. Na ENDAPO mpangaji atahitaji kulinunua Eneo lote na kila kitu kilichomo basi atalinunua kwa 550mil tu.
Piga simu
0775 179905