michelle henry
Member
- Jan 29, 2018
- 44
- 10
Ndugu mpendwa,
husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu,
ENEO la ziwani hekari 20 linauzwa MWANZA nyanguge uelekeo ni barabara yakwenda musoma ni km 30 kutoka mwanza mjini hadi site,
SIFA ZA ENEO
1. Eneo ni kubwa na zuri na linafaa kufanya jambo lolote utakalo kama ufugaji, hotel, makazi nk
haliko katika matumizi ya mpango mji hivyo wewe ndiye utakayeomba mpango wako wa matumizi.
2. Pana mabwawa 3 ya ufugaji wa samaki yaliyochimbwa ka greda kila bwawa 1 lina ukubwa wa mita 80 × 40
3. Pana trip 200 za mawe,
4. Pana nyumba ya vyumba 3 kama stoo.
KWAHIYO MCHANGANUO WA VITU NAMNA YA KUUZIWA UTAKUWA HIVI!
1. kila hekari utauziwa kwa mil 3,000,000/= hivyo kwa hekari 20 itakuwa ( 60,000,000/=)
2. Trip 200 za mawe utauziwa kwa
Mil (5,000,000/=)
3. NYUMBA utauziwa kwa
Mil (5,000,000/=)
BEI NA UTARATIBU WA MAKABIDHIANO
Eneo na vitu vilivyomo utauziwa kwa ( mil 70 ) vitu vyote vinauzwa kwa pamoja.
Ghalama za uchimbaji wa mabwawa hutapewa,
UONGOZI WA SERIKALI WA ENEO WA MTAA UTAHUSISHWA NA UTAKABIDHIWA MAHAKAMANI.
SABABU YA KUUZWA ENEO,
sababu kuu ni moja tu,
Kukoswa nguvu kwaajiri ya umaliziaji wa mradi,
Na Ili mradi umalizike kwa kiwango kilichopendekezwa inahitajika
Mil 160,
Ikiwa utakuwa na kiwango hicho na unapenda tuingie ubia unakaribishwa,
Lakini pia kama unahitaji eneo kubwa zaidi ya hapo uliza kama inawezekana utaelezwa.
MABWAWA yana uwezo wa kuchukua samaki 96,000 alfu.
Mhusika/mmiliki,
0629 444400
Karibuni sana.
PICHA zaidi unaweza kuona,