Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
hii post ina jirudia mkuu... nami naomba kuuliza swali hili "nali rudia hili swali" je? eneo lina hati miliki na kiwanja au eneo lime pimwa?Sahihi kabisa kiongozi
Karibu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii post ina jirudia mkuu... nami naomba kuuliza swali hili "nali rudia hili swali" je? eneo lina hati miliki na kiwanja au eneo lime pimwa?Sahihi kabisa kiongozi
Karibu sana.
Hahahahaa karibu mkuu.Safi sana
Halina hatihii post ina jirudia mkuu... nami naomba kuuliza swali hili "nali rudia hili swali" je? eneo lina hati miliki na kiwanja au eneo lime pimwa?
Mmiliki.Kuna ID flani ilikua inatangaza sana hiki kiwanja
Je mleta wewe ni mmiliki au ni dalali?
Huwezi kusema eti mwanamke hana thamani kwa sababu hakutolewa mahariMkuu kama lime pimwa nakuja na 50M tufanye biashara...
nime kuelewa kaka... kwa 50M tufanye biashara mkuuHuwezi kusema eti mwanamke hana thamani kwa sababu hakutolewa mahari
Huwezi kuacha kununua shamba sababu tu halina hati
Utakuwa huna nia.
Kitu cha msingi je liko salama!
Mwenzako anauza Milioni 90 huko... Sijui kati ya wewe na yeye nani ni Dalali?
Acha tu mkuu udalali unavuruga sana biashara za watu, yani hata hii ya kwanza inatia mashaka sasa.hapa kazi ipo... ili nibidi nirudi nyuma kidogo ... maana...
Mbona unatumia nguvu nyingi sana kiongozi maana watu Wa dizain kama yako ni kuwaangalia tuAcha tu mkuu udalali unavuruga sana biashara za watu, yani hata hii ya kwanza inatia mashaka sasa.
Hakuna nguvu iliyotumika hapa bali maneno tu, haiwezekani hapa bei iwe M60, we uweke M90.Mbona unatumia nguvu nyingi sana kiongozi maana watu Wa dizain kama yako ni kuwaangalia tu
Huyu eee??Mwenzako anauza Milioni 90 huko... Sijui kati ya wewe na yeye nani ni Dalali?
Huyo huyo naona kanifata huku hapo juu.