michelle henry
Member
- Jan 29, 2018
- 44
- 10
- Thread starter
- #81
Nyanguge ziwani.Ziwa gani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyanguge ziwani.Ziwa gani mkuu
Nyie jamaa ni matapeli nadhani.Humu JF wa kwanza kutangaza kuuza hilo eneo alisema mil. 60,mwingine akasema mil 90 wewe unasema tena mil 170.Nyanguge ziwani.
Nadhani ukitaka kufauru mtihani wowote unatakiwa kutulia!Nyie jamaa ni matapeli nadhani.Humu JF wa kwanza kutangaza kuuza hilo eneo alisema mil. 60,mwingine akasema mil 90 wewe unasema tena mil 170.
Kuna kitu hakiko sawa hapa.
Kwenye kiswahili hakuna neno KUFAURU,so kama ni mtihani umeshafeli tayari.Nadhani ukitaka kufauru mtihani wowote unatakiwa kutulia!
Narejea kwenye point yako sasa
Unasema uliona mwingine kapost mil 60 mwingine 90 mwingine 170
Je! Ukubwa ni uleuleee ama ni tofauti
Kama ukubwa unatofautiana! Basi hoja haina mashiko
Karibu sana mkuu.
Mimi ndiye mmiliki hivyo usipate shida kama umepandishiwa nipigie nikupunguzie,Kwenye kiswahili hakuna neno KUFAURU,so kama ni mtihani umeshafeli tayari.
Ile ID yako nyingine humu jf ya SIRAJJ JOHNN umeacha kuitumia siku hizi?
Acheni janja janja na hela za wanaume.