Plot4Sale Eneo la ziwani ekari 20 linauzwa Mwanza Nyanguge

naweza pata picha za bicon zake kama lime pimwa....

shukrani...
 
Mkuu kama lime pimwa nakuja na 50M tufanye biashara...
 
hii post ina jirudia mkuu... nami naomba kuuliza swali hili "nali rudia hili swali" je? eneo lina hati miliki na kiwanja au eneo lime pimwa?
Halina hati
Mhitaji akihitaji hati atafuatilia.
 
Mkuu kama lime pimwa nakuja na 50M tufanye biashara...
Huwezi kusema eti mwanamke hana thamani kwa sababu hakutolewa mahari
Huwezi kuacha kununua shamba sababu tu halina hati
Utakuwa huna nia.
Kitu cha msingi je liko salama!
 
Huwezi kusema eti mwanamke hana thamani kwa sababu hakutolewa mahari
Huwezi kuacha kununua shamba sababu tu halina hati
Utakuwa huna nia.
Kitu cha msingi je liko salama!
nime kuelewa kaka... kwa 50M tufanye biashara mkuu
 
Ndugu mpendwa,
husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu,
ENEO la ziwani hekari 20 linauzwa MWANZA nyanguge uelekeo ni barabara yakwenda musoma ni km 30 kutoka mwanza mjini hadi site,
SIFA ZA ENEO
1. Eneo ni kubwa na zuri na linafaa kufanya jambo lolote utakalo kama ufugaji, hotel, makazi nk
haliko katika matumizi ya mpango mji hivyo wewe ndiye utakayeomba matumizi.
2. Pana mabwawa 3 ya ufugaji wa samaki yaliyochimbwa ka greda kila bwawa 1 lina ukubwa wa mita 80 × 40
3. Pana trip 200 za mawe.
4. Pana nyumba ya vyumba 3 kama stoo.
KWAHIYO MCHANGANUO WA VITU NAMNA YA KUUZIWA UTAKUWA HIVI!
1. kila hekari utauziwa kwa mil 3,000,000/= hivyo kwa hekari 20 itakuwa ( 60,000,000/=)
2. Trip 200 za mawe utauziwa kwavMil (5,000,000/=)
3. NYUMBA utauziwa kwa Mil (5,000,000/=)

BEI: NA UTARATIBU WA MAKABIDHIANO
Eneo na vitu vilivyomo utauziwa kwa ( mil 70 bei haipungui) vitu vyote vinauzwa kwa pamoja.
Ghalama za uchimbaji wa mabwawa hutapewa,
UONGOZI WA SERIKALI WA ENEO WA MTAA UTAHUSISHWA NA UTAKABIDHIWA MAHAKAMANI.


SABABU YA KUUZWA ENEO,
sababu kuu ni moja tu,
Kukoswa nguvu kwaajiri ya umaliziaji wa mradi,
Na Ili mradi umalizike kwa kiwango kilichopendekezwa inahitajika Mil 160,
Ikiwa utakuwa na kiwango hicho na unapenda tuingie ubia unakaribishwa,
Lakini pia kama unahitaji eneo kubwa zaidi ya hapo uliza kama inawezekana utaelezwa.
MABWAWA yana uwezo wa kuchukua samaki 96,000 alfu.

Mhusika/mmiliki,
0629 444400
Karibuni sana.
Wakati ni sasa.


PICHA zaidi unaweza kuona,<br />
 
Mita 100 toka chanzo cha maji hili ni LA kuzingatia kabla ya manunuzi.

Serikali za vijiji hazina mamlaka ya kusimamia mauziano hayo.

Wenye mamlaka ya kusimamia. Mikataba ya mauziano na wanaotambulika kisheria na ushahidi wao huwa unanguvu kuwa ni Wanasheria/ Mawakili.

Pia kabla hujanunua nenda Idara ya ardhi ukajiridhishe uhalali Wa eneo hilo.

HAYO NI MAANGALIZO TU KWA WANUNUZI .USIJE JIKUTA UMELIWA HELA ZAKO BURE MWISHO WA SIKU UKAJINYONGA
 
Ndugu mpendwa
husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu
ENEO la ziwani hekari 30 linauzwa MWANZA nyanguge uelekeo ni barabara yakwenda musoma ni km 30 kutoka mwanza mjini hadi site,

SIFA ZA ENEO

1. Eneo ni kubwa na zuri na linafaa kufanya jambo lolote utakalo kama ufugaji, hotel, makazi nk
haliko katika matumizi ya mpango mji hivyo wewe ndiye utakayeomba matumizi.
2. Pana mabwawa 3 ya ufugaji wa samaki yaliyochimbwa kwa greda kila bwawa 1 lina ukubwa wa mita 80 × 40
3. Pana trip 200 za mawe,
4. Pana nyumba ya vyumba 3 kama stoo.

BEI: MIL 150
Eneo na vitu vilivyomo utauziwa kwa ( MIL 150 )
Gharama za uchimbaji wa mabwawa hutapewa,
ENEO HALINA HATI nyaraka zilizopo niza serkali ya kijiji.

UONGOZI WA SERIKALI WA ENEO MTAA UTAHUSISHWA NA UTAKABIDHIWA MAHAKAMANI.

SABABU YA KUUZWA ENEO,

sababu kuu ni moja tu, Kukoswa nguvu kwaajiri ya umaliziaji wa mradi, Na Ili mradi umalizike kwa kiwango kilichopendekezwa inahitajika Mil 160, Ikiwa utakuwa na kiwango hicho na unapenda tuingie ubia unakaribishwa,
Karibu tuweke makubaliano,
Lakini pia kama unahitaji eneo kubwa zaidi ya hapo unaweza uliza kama inawezekana utaelezwa
MABWAWA yana uwezo wa kuchukua samaki 96,000 alfu.

MAWASILIANO:
Mmiliki
0629 444400
Karibuni sana.

PICHA zaidi unaweza kuona,<br />
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…