ENEO LA ZIWANI HEKARI 30 LINAUZWA MWANZA NYANGUGE.
Ndugu mpendwa
husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu
ENEO la ziwani hekari 30 linauzwa MWANZA nyanguge uelekeo ni barabara yakwenda musoma ni km 30 kutoka mwanza mjini hadi site,
SIFA ZA ENEO
1. Eneo ni kubwa na zuri na linafaa kufanya jambo lolote utakalo kama ufugaji, hotel, makazi nk
haliko katika matumizi ya mpango mji hivyo wewe ndiye utakayeomba matumizi.
2. Pana mabwawa 3 ya ufugaji wa samaki yaliyochimbwa kwa greda kila bwawa 1 lina ukubwa wa mita 80 × 40
3. Pana trip 200 za mawe,
4. Pana nyumba ya vyumba 3 kama stoo
BEI NA UTARATIBU WA MAKABIDHIANO
Eneo na vitu vilivyomo utauziwa kwa ( MIL 170 ) vitu vyote vinauzwa kwa pamoja.
Ukipenda eneo nusu yake unaweza kuongea
UONGOZI WA SERIKALI WA ENEO WA MTAA UTAHUSISHWA NA UTAKABIDHIWA MAHAKAMANI.
SABABU YA KUUZWA ENEO,
sababu kuu ni moja tu, Kukoswa nguvu kwaajiri ya umaliziaji wa mradi, Na Ili mradi umalizike kwa kiwango kilichopendekezwa inahitajika Mil 170, Ikiwa utakuwa na kiwango hicho na unapenda uingie ubia unakaribishwa,
Karibu tuweke makubaliano,
Lakini pia kama unahitaji eneo kubwa zaidi ya hapo unaweza uliza kama inawezekana utaelezwa
MABWAWA yana uwezo wa kuchukua samaki 96,000 alfu.
MAWASILIANO:
0767120280
Karibuni sana.
PICHA zaidi unaweza kuona,<br />