Jamiix
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 940
- 666
Naona,ila walikosea kidogo kwenye vipimosisi tunaangalia jua tunajua misimu ya kilimo,tunajua heka ni maguu 70 utatubabaisha nini na elimu yako hiyo,sisi tulisoma kwa vitendo zaidi mguu kwa mguu shambani.