Eneo linauzwa Goba Njia Nne kwenye lami

Eneo linauzwa Goba Njia Nne kwenye lami

Kwahyo nikiwa na ka bilion, nikisem ninunue kiwanja na kujenga hapo milion mia 600 inakatika aiee.
Kuna eneo limenunuliwa na kanisa katoliki Mill 600 mwaka 2023 mwanzoni . Heka 3, ziko barabaran , Goba Kontena, karibia na shule ya st Joseph Millenium,

Viwanja vikubwa vilivyo barabaran viko hot cake sana.

Ila Nyuma ya barabara kidogo kiwanja kizur , sqm 500-700 unapata kwa 45-60 Mill.

Ndan ndan sqm 500-700 unapata 15-30 Mill.

Vilivyobana unapata chini ya sqm 500 kushuka chini kwa 8-15 mill.

Nakaa huku miaka mitano sasa hivyo najua bei elekezi.
 
Back
Top Bottom