Kuna eneo limenunuliwa na kanisa katoliki Mill 600 mwaka 2023 mwanzoni . Heka 3, ziko barabaran , Goba Kontena, karibia na shule ya st Joseph Millenium,
Viwanja vikubwa vilivyo barabaran viko hot cake sana.
Ila Nyuma ya barabara kidogo kiwanja kizur , sqm 500-700 unapata kwa 45-60 Mill.
Ndan ndan sqm 500-700 unapata 15-30 Mill.
Vilivyobana unapata chini ya sqm 500 kushuka chini kwa 8-15 mill.
Nakaa huku miaka mitano sasa hivyo najua bei elekezi.