Plot4Sale Eneo linauzwa Kigamboni Mwasonga, heka 2

No SQL

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2014
Posts
7,063
Reaction score
12,563
Nauza eneo langu, lipo Kigamboni Mwasonga heka mbili
BEi: 15 million
Halijapimwa, lina document za mauziano za serikali ya mtaa
Linafaa kwa kukata viwanja, kilimo, ufugaji, makazi n.k
Hyo barabara hapo inaelekea Kimbiji ambayo imeanza kupigwa lami.
karibu PM tuzungumze.

mwasonga farm location.PNG
 
View attachment 3092580
Kigamboni kuna Wapemba wengi hapo na wanaume wenye akili timamu wavaao suruali njiwa kwa makusud kujifanya watoto wadogoi, je hili eneo lipo mbali na misikiti? Kama Yes, basi tuwasiliane.
 
We unataka kuleta ugomvi hapa...
 
Kigamboni kuna Wapemba wengi hapo na wanaume wenye akili timamu wavaao suruali njiwa kwa makusud kujifanya watoto wadogoi, je hili eneo lipo mbali na misikiti? Kama Yes, basi tuwasiliane.
Pengine weww nyani unakesha ukiomba kuondokana na Vipilipili yako kichwani uwe kama "wapemba"
 
Hela ya kusukuma life ndio changamoto...
Lakini naendelea kupambana nikipata ajira huko psrs ninakopambana...siuzi
Dah kweli sio poa. Uza mkuu tupate mtaji tweende Zambia walahi

Na mm naliuza la kwangu mwasonga mtaa wa tulivu mambo yasiwe mengi
 
Back
Top Bottom