The useful idiot
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 1,019
- 2,670
Wachukuliwe hatua tu, kama kipindi cha MaguMwasonga watu wanaomiliki maeneo makubwa hadi leo wapo. So wamesababisha maendeleo yake ni slow kwelikweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachukuliwe hatua tu, kama kipindi cha MaguMwasonga watu wanaomiliki maeneo makubwa hadi leo wapo. So wamesababisha maendeleo yake ni slow kwelikweli
Vikunai kuna gari za posta kule.. sio shamba tena. Shamba kwa upande ule lipo huko magodani, mwasongaNi kweli Kigamboni baadhi ya maeneo yamelala sana kama kule Vikunai kuna mapori aisee lakini kuna zile kota za NSSF ndio huwa zinaleta uhai
Nimemwambia hapo post #47Uwachukulie hatua wakati maeneo y kwao? Mm nimenunua mwasonga karibu na eneo la msikiti wa shehe ponda. Huko plan ni ya miaka 6 mbele
Kwa ninavyojua kuna sheria zinamtaka mtu aendeleze sehemu yake ndani ya muda kadhaa hata maboma nayo usipoendeleza kwa muda mrefu kuna sheria zinahusikaSasa watachukuliwa hatua vipi wakati wachukuwa hatua ndio wanamiliki hayo maeneo
Labda kama ni viongozi ndio wamiliki ila kuna sheria zinamtaka mtu kuendeleza ardhi yakeSasa watachukuliwa hatua vipi wakati wachukuwa hatua ndio wanamiliki hayo maeneo
Tayari, labda sijui sheria vizuri ila niliwahi kusikia hicho kituSoma post #48 😂😂😂
15m+, depend na nini kilichopo??Una mtaji kias gan mzee?
Nakucheki pm mkuu15m+, depend na nini kilichopo??
Samahani pm ndo nini kaka??,Nakucheki pm mkuu
Ohh wewe ndo Ume nishtua, Nisha zoea fb ma message ya ajabu.anakuja inbox..usipate shida
😂😂😂 ila kalagabaho unanivunjaga mbavu sana na comments zako..!Tunataka mrejesho kama hajauza tumtafutie madalali au tukalikate vipande watu hatuna hela sahiz
Niliwasiliana nae bos tukapige kama real estate tupate hela 😆😂😂😂 ila kalagabaho unanivunjaga mbavu sana na comments zako..!
Eti tukakivunje vipande.!! La kwako??