Plot4Sale Eneo linauzwa Kigamboni Mwasonga, heka 2

Ila sababu miundo mbinu bado haijakaa sawa. Kule kuna senta kubwa tu. Mana mwasonga yenyew ni senta kubwa kuliko kibada. Ile barabara ina eneo kubwa sana la viwanda
Basi ni pazuri sana kununua Kiwanja kwa sasa maana naamini ndani ya miaka miatano viwanja vita panda bei, ni kama kule vikunai kama unapajua
 
Vikunai viwanja vilipanda muda mrefu sana mm kwetu pale mgeninani. Vikunai ya muda sana ile.. watu waliununua kule plan ya miaka 10 mbele ndo wapo leo. Kuna jamaa yangu alifosi kipande cha milion 1 na laki 2 mwaka 2018. Mwasonga ukitia milion 3 ukaiacha kule itakufaa sana. Shida kubwa ya kule watu wanamiliki maeneo makubwa sana na hawayaendelezi, so maende sio ya kasi
Naam kumbe unapahamau! Mimi niliisha kwenye zile ghorofa za NSSF ukiacha zile hostels! Mwansonga nitakuja niende nikapatalii kwanza ila kigamboni ya sasa nimebadilika sana tofauti na zamani
 
Vikunai viwanja vilipanda muda mrefu sana mm kwetu pale mgeninani. Vikunai ya muda sana ile.. watu waliununua kule plan ya miaka 10 mbele ndo wapo leo. Kuna jamaa yangu alifosi kipande cha milion 1 na laki 2 mwaka 2018. Mwasonga ukitia milion 3 ukaiacha kule itakufaa sana. Shida kubwa ya kule watu wanamiliki maeneo makubwa sana na hawayaendelezi, so maende sio ya kasi
Vigogo ndio wanamaeneo makubwa..
 
Back
Top Bottom