Plot4Sale Eneo linauzwa Kigamboni Mwasonga, heka 2

Lami ikikamilika pale unateleza tu nauli itakiwa 600 au 500
Hili ndo watu wengi hawalijui kuhusu kule. Mana itazaliwa ruti moja tu toka kigamboni mpaka kule nauli hata ikiwa 1000 sio kesi mana yake ni 1200 upo City center
 
Ila sababu miundo mbinu bado haijakaa sawa. Kule kuna senta kubwa tu. Mana mwasonga yenyew ni senta kubwa kuliko kibada. Ile barabara ina eneo kubwa sana la viwanda
Basi ni pazuri sana kununua Kiwanja kwa sasa maana naamini ndani ya miaka miatano viwanja vita panda bei, ni kama kule vikunai kama unapajua
 
Naam kumbe unapahamau! Mimi niliisha kwenye zile ghorofa za NSSF ukiacha zile hostels! Mwansonga nitakuja niende nikapatalii kwanza ila kigamboni ya sasa nimebadilika sana tofauti na zamani
 
Vigogo ndio wanamaeneo makubwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…