Plot4Sale Eneo linauzwa Tsh. Milioni 8, lipo Tegeta A Goba Mpakani

Plot4Sale Eneo linauzwa Tsh. Milioni 8, lipo Tegeta A Goba Mpakani

Joined
Sep 11, 2024
Posts
33
Reaction score
46
Eneo linauzwa lipo Tegeta "A" Goba mpakani mtaa wa Mlimani City
Dakika 2 tuu kutoka barabara kuu ya Mtaa ambayo itawekwa lami hivi karibuni.

Kutoka site mpaka Goba Center ni mwendo wa dakika zisizo zidi 15 kwa gari/pikipiki.

Kiwanja kipo mjini haswaa.

Kiwanja kina size ya mita 10 X 10 yaani SQM 100.

Kiwanja kinatosha kujenga nyumba ya vyumba viwili, Seble, jiko na choo na sehemu ikabaki.

Kiwanja kimezungukwa na huduma zote muhimu, maji na umeme, shule na hospital pia zipo karibu sana.

Daladala mpaka mbezi mwisho ni 600 tuu zipo mpaka saa 4 usiku. Bajaji ni 1500 tu.

Barabara ya gari mpaka kwenye kiwanja. Hii inawafaa sana wale wasiotaka kukaa mbali na mji.

Njoo kaa sehemu nzuri kwa gharama nafuu kabisa.

Ni milioni 8 tuu inatosha kuchukua kiwanja hiki...
☎️ +255 699 255 530
Piga simu njoo ulipie viwanja hivi maranyingi havikaagi sana.

IMG_1922.jpeg


 
Hakina hati Boss
Mwenyewe amekata kipande kidogo kwasababu ya shida za kifamilia(matatizo binafsi)
 
10×10 chumba na master bedroom hakitoshi? Kwa hilo eneo kupata kodi laki tatu kwa mwezi ni jambo linalowezekana! Wasiwasi wangu mleta mada labda vipimo amekosea labda alimaanisha 10×20
Ardhi kutoa hati kiwanja cha 10×10 uongo yani hpo unaweka banda na si nyumba
 
Ni 10 X 10 Boss
Na hayo maeneo chumba choo ni elfu 7 bila kusumbuka
Nyumba ya vyumba viwili seble na jiko ni 300K mpaka 350K bila wasiwasi
 
Back
Top Bottom