Eneo maskini na hatari kuliko yote Marekani.......

Eneo maskini na hatari kuliko yote Marekani.......

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,189
Reaction score
9,299
CAMDEN, NEW JERSEY

Eneo maskini kuliko yote marekani

Camden iko mjini new jersey nchini marekani

Camden imepakana na Philadelphia ambapo imetenganishwa na daraja la frankly.

Frankly ni kieneo kidogo zaidi ndani ya Camden ambacho kina ongoza kwa violence

Kiwango cha joto hufikia nyuzi joto 5

Camden ina wakazi 840430

Ukihitaji kupata appartment ndani ya camden “You have rents that are $900 or $1,000 per month in poor neighborhoods,” she said. “And you have to count your blessings because you don’t know if you’ll get shot.”

Makundi makubwa yenye nguvu ya wauza madawa ya kulevya yanashindana na makundi madogo wenyeji wa Camden kuwania udhibiti wa eneo hili

Camden mapigano ya bunduki ni mara kumi ya yale yanayotokea New york na mara thelathini yanayotokea New orlens

"Hatuna ulinzi wa police hapa Camden kazi yao ni kuja kuokota miili tu"alisikika mkaazi wa muda mrefu wa camden bwana Hudson Lynn Bruce


My take: mimi napafananisha camden na eneo la upanga au kisutu kwa dar es salaam





.......To be countinue
b6073bb3a4970ac7ba8b76d3d7dd4bab.jpg
6a569b3edc5bab5db3e1c8bdfcd96c4c.jpg
0ac610813ba71d7a88403229382fe62a.jpg
4a6806ea76adfa5cfcd470f628020da2.jpg
 
Hapa bongo dsm ni kama kitongoji kipi?
Yan marekani na uwezo woote ule, wizi wote ule, kujitia kumwaga mihela nchi zingine imeshindwa kumwaga mahela hapo kwa kuvunja na kujenga majumba mazuri, kuwekeza mitaji kwa watu hapo waendelee!
 
nikikosa mchongo wa unabii, nakuwa mpiga ramli fortune teller
sidhani kama kutakuwa na mambo hayo na watakuelewa, kurogana hakuna ukizingua unakula shaba polis wanakuja kuzoa mzoga wako, hawana mambo ya waganga
 
Back
Top Bottom