Jumapili iliyopita (Juni 15, 2025) waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) walisali pembeni ya barabara ya Morogoro chini ya mti ikiwa ni eneo la karibu na kanisa lao
Leo Jumapili ya Juni 22, 2025 eneo walilofanyia ibada askari wamepaki gari lao wakiwa juu ya gari na mabomu ya machozi. Kwa wale wanaopita maeneo jirani na kuonekana kutokuwa na kazi maalum wamekuwa wakiulizwa unaneda kanisani?.
Hata hivyo maeneo ya karibu hakuna makundi madogo madogo kama ilivyokuwa Jumapili iliyopita hii ni kuashiria kwamba huenda waumini hao leo wasifanye ibada maeneo ya karibu