Eneo walilosalia Waumini wa Gwajima Jumapili hapakaliki, Polisi waweka kambi

Jumapili iliyopita (Juni 15, 2025) waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) walisali pembeni ya barabara ya Morogoro chini ya mti ikiwa ni eneo la karibu na kanisa lao

Leo Jumapili ya Juni 22, 2025 eneo walilofanyia ibada askari wamepaki gari lao wakiwa juu ya gari na mabomu ya machozi. Kwa wale wanaopita maeneo jirani na kuonekana kutokuwa na kazi maalum wamekuwa wakiulizwa unaneda kanisani?.

Hata hivyo maeneo ya karibu hakuna makundi madogo madogo kama ilivyokuwa Jumapili iliyopita hii ni kuashiria kwamba huenda waumini hao leo wasifanye ibada maeneo ya karibu

Kuna polisi hapo hawapendihuu ujinga ila hawana namna
 
kuomba msamaha siyo kudhalilika.ina maana kanisa zima halina bodi ya wadhamini ambao wanaweza kuomba msamaha kwa wizarz ya mambo ya ndani?
Kwa kosa gani sasa. Hata myngu si tunamuomba msamaha kwa kufanya makosa?
 
Jumapili iliyopita (Juni 15, 2025) waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) walisali pembeni ya barabara ya Morogoro chini ya mti ikiwa ni eneo la karibu na kanisa lao

Leo Jumapili ya Juni 22, 2025 eneo walilofanyia ibada askari wamepaki gari lao wakiwa juu ya gari na mabomu ya machozi. Kwa wale wanaopita maeneo jirani na kuonekana kutokuwa na kazi maalum wamekuwa wakiulizwa unaneda kanisani?.

Hata hivyo maeneo ya karibu hakuna makundi madogo madogo kama ilivyokuwa Jumapili iliyopita hii ni kuashiria kwamba huenda waumini hao leo wasifanye ibada maeneo ya karibu

Kazi ya polisi ni yalaana ndiyo maana wanapata magonjwa mazito na umasikini baada ya kustaaf.
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
 
Huyu kiumbe anaona yeye ndiyo kila kitu. Sababu ya hawa polisi, ila Mungu atakuja kumjibu kadri ya matendo yake. Ni shetani pekee atakayezuia watu kuabudu. Gwajima hakuna jambo baya alilosema, kama hutaki kuambiwa ukweli, nafasi ya juu ya nchi haikufai na utende haki acha kuteka, kutesa na kuuwa uone kama kuna mtu atahangaika nawewe.

Uonevu na kutompa mtu haki, kisa hutaki kusikia mwingine anachokwambia si sawa. Hapa duniani tunapita, iko siku utatakiwa kujibu yote haya. Hawa waumini wamekosea nini mpaka wastahili haya? Pesa mnazowalipa hawa polisi kila siku kukaa hapo per diem, ni kodi za haohao waumini!!! Kuna siku yako ipo Mungu hajawahi shindwa kwame.
Mapolisi hawalipwi kabisa hapo kwenye hilo zoezi.
 
Kwa hiyo wewe unaona hakufanya makosa? Unaende madhabahuni kama msanii kwenda kuwananga wakuu wa nchi?
Wewe huelewi. Kwanza gwajima hajaongra aliyoongea akiwa madhabahuni. Kama alikuwa madhabahuni thibitisha. Pili hakuwananga watawala . Alichoongea gwajima ni kwamba watu WANATEKWA na kuuwa? Siyo kweli? Gwajima alikuwa na majina 83 kama ushahidi!
Nani alimua KIBAO
SOKA
MDUDE
BEN SANANE
Wewe unataka akaombe msamaha ati amewananga watawala ulitaka akaongelee wapi?
 
Sijakuelewa.Ile video akiwa anashangiliwa na waumini wake hukuiona? Ilikuwa inje ya kanisa au ndani?
 
Jumapili iliyopita (Juni 15, 2025) waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) walisali pembeni ya barabara ya Morogoro chini ya mti ikiwa ni eneo la karibu na kanisa lao

Leo Jumapili ya Juni 22, 2025 eneo walilofanyia ibada askari wamepaki gari lao wakiwa juu ya gari na mabomu ya machozi. Kwa wale wanaopita maeneo jirani na kuonekana kutokuwa na kazi maalum wamekuwa wakiulizwa unaneda kanisani?.

Hata hivyo maeneo ya karibu hakuna makundi madogo madogo kama ilivyokuwa Jumapili iliyopita hii ni kuashiria kwamba huenda waumini hao leo wasifanye ibada maeneo ya karibu

Gwajima kwisha habari yake
 
Hiyo nguvu wanayotumia kuzuia watu,wangeitumia kuleta maendeleo tz ingekuwa kama marekani
 
Yesu akawatokea na kuwaambia’ Amani Iwe Kwenu’
Awatokee tu wampige virungu hawatojali km huyu ni Yesu kisa wametumwa na Boss wao mwenye Billion zake kadhaa Bank zinapumua tu
 
Back
Top Bottom