kuomba msamaha siyo kudhalilika.ina maana kanisa zima halina bodi ya wadhamini ambao wanaweza kuomba msamaha kwa wizarz ya mambo ya ndani?Jumapili iliyopita (Juni 15, 2025) waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) walisali pembeni ya barabara ya Morogoro chini ya mti ikiwa ni eneo la karibu na kanisa lao
Leo Jumapili ya Juni 22, 2025 eneo walilofanyia ibada askari wamepaki gari lao wakiwa juu ya gari na mabomu ya machozi. Kwa wale wanaopita maeneo jirani na kuonekana kutokuwa na kazi maalum wamekuwa wakiulizwa unaneda kanisani?.
Hata hivyo maeneo ya karibu hakuna makundi madogo madogo kama ilivyokuwa Jumapili iliyopita hii ni kuashiria kwamba huenda waumini hao leo wasifanye ibada maeneo ya karibu
Ndo upeo wako wa kufikiri umeishia hapo!?, waombe msamaha kwa kosa gani!?, kusema watanzania wanatekwa wakati ni ukweli ni kosa!?, unadhani taifa litaendelea kwa kuendekeza uchawa kama wewe!?, Kwa akili hizo na wewe unarudi nyumbani unaitwa baba!?kuomba msamaha siyo kudhalilika.ina maana kanisa zima halina bodi ya wadhamini ambao wanaweza kuomba msamaha kwa wizarz ya mambo ya ndani?
Kwanini Muliro anawageuza watoto wa wenzake vikatuni?Jumapili iliyopita (Juni 15, 2025) waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) walisali pembeni ya barabara ya Morogoro chini ya mti ikiwa ni eneo la karibu na kanisa lao
Leo Jumapili ya Juni 22, 2025 eneo walilofanyia ibada askari wamepaki gari lao wakiwa juu ya gari na mabomu ya machozi. Kwa wale wanaopita maeneo jirani na kuonekana kutokuwa na kazi maalum wamekuwa wakiulizwa unaneda kanisani?.
Hata hivyo maeneo ya karibu hakuna makundi madogo madogo kama ilivyokuwa Jumapili iliyopita hii ni kuashiria kwamba huenda waumini hao leo wasifanye ibada maeneo ya karibu
Shetani haombwi msamaha, anakemewa.kuomba msamaha siyo kudhalilika.ina maana kanisa zima halina bodi ya wadhamini ambao wanaweza kuomba msamaha kwa wizarz ya mambo ya ndani?
Kosa la waumini ni lipi hadi waombe msamaha?kuomba msamaha siyo kudhalilika.ina maana kanisa zima halina bodi ya wadhamini ambao wanaweza kuomba msamaha kwa wizarz ya mambo ya ndani?
Msamaha ganikuomba msamaha siyo kudhalilika.ina maana kanisa zima halina bodi ya wadhamini ambao wanaweza kuomba msamaha kwa wizarz ya mambo ya ndani?
ShalomYesu akawatokea na kuwaambia’ Amani Iwe Kwenu’